Nani Alikuwa Mlinzi wa Mwalimu Nyerere......?

Don't mind lady, it will reach a point of no return where you will be inspiring your English! For sure one will let you know whatever necessary to accomplish yur entire desires!
 
On the other hand, it depends much on what you want! If it's spoken english; go through the books,news papers,and for sure through reading or listening Speeches will advance you much!!!!!!!!!
 
On the other hand, it depends much on what you want! If it's spoken english; go through the books,news papers,and for sure through reading or listening Speeches will advance you much!!!!!!!!!

Wakora tayari mmeshachakachua thread_either kwa makusudi ama bila kujua.

Mada ni 'nani alikua mlinzi wa Mwl.Nyerere',....nyie mnaleta zenu za kutiana moyo kuongea kiinglish.
 
kwa maana ya wanausalama nyerere alikuwa nao wengi na si rahisi kuwajua wote kwa majina
 
Baadhi ya walinzi wa JKN namkumbuka Mzee Kingu, Morembe, Issa, Matwanyinyi nk. Wakati mi naingia pale Mzee kingu ndo alinipokea na baada ya miaka 2 akastaafu. Alipon'gatuka JKN unajua tena mambo ya vitengo!
 
Nyerere alikuwa anaonesha kuwa na yeye anajuwa kuendesha baiskeli, hiyo ilikuwa ndani ya uwa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom