Nani Alaumiwe??

eRRy

JF-Expert Member
Jun 12, 2009
1,125
204
Hallo Wanajamii!
Kuna kitu huwa najiuliza mara nyingi
-Wakati Wa FUMANIZI Tuseme umemfumania mke/mme wako Au tuseme tu Girl/Boyfriend kuna kitu huwa nashangaa: Kwa nini mgoni ndiye huwa anashambuliwa na wakati mwingine anasababishiwa hata ulemavu wa kudumu au kifo? Ja Ni nani wa kulaumiwa/mwenye makosa?? Mgoni au Mwandani wako????

Tulijadili jameni maana Duniani kote hali ni kama moja!
 
Mwenye makosa ni mgoni wako. Mwandani wako anakuwa ameleghaiwa na akalainika. Kama huyo panya anavyoifanyia mouse kwenye avatar yako, nani mwenye makosa hapo?
 
Huko ni kutetea udhaifu wa nyoyo zenu.

Binadamu mwenye utashi lazima apime anachokifanya.
Dhambi yao inaanza na wazo, ninyi siyo wanyama ambao hawavai nguo, ukajitetea kuwa eti ulimkuta hajajisitiri ndiyo maana ukamwingilia mke/me wa mtu. Lazima wote mnajiandaa baada ya makubaliano, siyo kwamba mmoja analazimishwa.

Hakuna cha kujadiri hapa. Acheni kutetea maovu yenu.
 
Wa kulaumiwa ni mwenzio and thats it. hakuna cha kulaghaiwa, sometimes hata wewe mwenyewe ni wa kulaumiwa, unaweza kuwa sababu ya mwenzio kucheat, so before uanze kurusha makonde jipime contribution yako kwa yeye kucheat
 
Mwenye makosa ni mgoni wako. Mwandani wako anakuwa ameleghaiwa na akalainika. Kama huyo panya anavyoifanyia mouse kwenye avatar yako, nani mwenye makosa hapo?

hapa mi nitalaumu mausi iliyoko chini! kwa nini ikubali kusalandiwa????
 
kila mmoja hapo ana mgoni wake, let say wewe umemfumania mkeo, utampiga mgoni wako na na yule mke wa mgoni akija hapo atampiga mkeo kwa kumfumania na mumewe, upo hapo> sasa je utakubali mkeo apigwe na aliyemfumania, maana wewe si unampiga uliyemfumania?
 
wote ni wakulaumiwa
...Nooooooooo!!! wakulaumiwa wewe mwanadada.Kama unajua wewe una mume au boyfriend wako kwa nini ukitongozwa usikatae. We ni mtu mzima na una akili timamu. Kumbuka mwanamke akitembea njiani ukiacha wale wenye engagement rings au pete ya ndoa wengine wapo wapo tu. Kwa hiyo kama mimi inatokea kumfumania demu wangu wakumpa kichapo ni demu jamaa hana hatia kabisa na kumbuka kutongozwa ni jambo moja na kuliwa uroda ni jamboo lingine!! Upo???
 
Mwenye makosa ni mgoni wako. Mwandani wako anakuwa ameleghaiwa na akalainika. Kama huyo panya anavyoifanyia mouse kwenye avatar yako, nani mwenye makosa hapo?

mie nikimfumania mr mgoni hanihusu hata kidogo, yule katongozwa tu na aliemtongoza ni mr....mbona atashaa!
 
...Nooooooooo!!! wakulaumiwa wewe mwanadada.Kama unajua wewe una mume au boyfriend wako kwa nini ukitongozwa usikatae. We ni mtu mzima na una akili timamu. Kumbuka mwanamke akitembea njiani ukiacha wale wenye engagement rings au pete ya ndoa wengine wapo wapo tu. Kwa hiyo kama mimi inatokea kumfumania demu wangu wakumpa kichapo ni demu jamaa hana hatia kabisa na kumbuka kutongozwa ni jambo moja na kuliwa uroda ni jamboo lingine!! Upo???

afadhali....ndio nashindwa kueewa utamparamiaje mgoni, mwenye kosa hapo muhucka wako....
 
the two of them are liable for the offence and hence need asevere punishment!
 
Wa kulaumiwa ni mwenzio and thats it. hakuna cha kulaghaiwa, sometimes hata wewe mwenyewe ni wa kulaumiwa, unaweza kuwa sababu ya mwenzio kucheat, so before uanze kurusha makonde jipime contribution yako kwa yeye kucheat

mie cpendagi hiyo kauli jamani, kwanin niwe sababu?...niambie nilipokosea tuendeee na maisha, sasa nikikukuta hutapata hata nafac ya kuniambia me ndio nimesababisha! naharibu mazima.
 
Back
Top Bottom