Kaka mafuta wakubwa wanayataka. Mbona hawaendi somalia.?
Kwa gharama zozote watatunga hata uongo ili wahalalishe nia yao. Umesahau ya sadam hussein...? Ila juzi nimesikia tena wamekaa huko france kwani wamegundua walichokifanya huenda kisiwasaidie , ktk wale waliowasaidia kumtungua ghadaf miongoni mwao ni ***** kubwa la al kaida ambalo hata ghadaf mwenyewe alikuwa akipambano nalo, nadhani sasa wanapiga mahesabu upya, pia hao waasi , waishastukia zile mbinu zao za kuingiza eti majeshi ya kusaidia utulivu wa amani, wamesema hawaitaji jeshi lolote toka mataifa ya magharibi, hilo nalo limewastua tusubiri tutasikia ila nadhani kutatokea vurugu kwani miongoni mwa waasi kuna wanaowatumikia wazungu na kuna wasiotaka uwepo wa wazungu, na pia kuna watumishi wa serikali ya ghadafi pia wote wana mtazamo tofauti.