Nandaa ndoa yangu ya Mkristo na Muislam

Acha Uvivu

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
525
131
Jamani mimi nimekuwa nikifikiria kwa muda mrefu juu ya hizi imani zetu na waanzilishi wake. Kwa Uislam naamini Muhamad hakuanzisha haya madhehebu ya Suni, Shia, Kurdi n.k ambayo yapo katika uislam lakini yana misimamo tofauti hata kuweza kuuana km Iraq kaskazini. Vivo hivyo katika ukiristo kuna madhehebu ambayo hayaishi kupondana, mara eti wale kanisa la Shetani. Au Wakatoliki sio dini ya kweli ila Usabato. Tena eti kuwa Mpetekoste ndio sasa. Lakini yesu alileta Ukristo na hakuleta haya madhehebu na wala hakusema kupitia dhehebu fulani mtu ataenda peponi. Pia katika uislamu nadhani ni hivyo hivyo na hatuambiwi wateule wataishi katika makundi huko peponi. Sasa huu ni mtego ambao watu wenye akili za umimi na uroho ndio hutugawa kwa misingi ambayo ni kinyume cha misingi ya hizi imani mbili. Wana JF mnajiita Great Thinkers lakini bado mtu km Malari Sugu na wanaojibu hoja zake udini mnaingia kwenye mtego. Kwa kutambua hii siri mimi nitajitahidi tu kuwa msafi na sio nishabikie dini halafu mtenda dhambi. Hivyo natangaza nia ya kuoa muislam hadi nipate andiko takatifu litakalosema peponi tutaishi km Waislam (shia, suni kivyao) au Wakristo (wasabato, waluteri) kivyao. Siwezi kuukubali upuuzi mimi. Mwenye hoja ya msingi aseme na aeleze haya madhebu katika kila dini yana asili gani.
 
hata yesu wakati wake alikuwa habaki. Lkn paulo ndio kaanzisha mambo haya. Ndio maana sisi waislam tunamuhesimu sana yesu na kuwa bora na mama maria ambae ni mariam kwetu ni mtukufu.Lkn paulo katuletea balaa la kila aina kwa kuichakachua bibilia. Hoja ya kuoa muislam au mkiristo. Muislam wa kike ni najsi kuolewa na mkiristo mwanammme. Mwanamke wa kiislam ni msafi haifai kuolewa na mkiristo
uchafu wa wanawake wa kikristo ni nini?
 
Sasa hapa nimegundua unafiki. Unamuamini aliyeleta ukristo, Yesu lakini hutaki wakristo kuoa waislamu. Nadhani ingewezekana mdahalo kati ya Yesu na Muhamad ungetatua haya maujinga yetu halafu tuumbuke na kujifanya kwetu waelewa au wasomi.
 
hata yesu wakati wake alikuwa habaki. Lkn paulo ndio kaanzisha mambo haya. Ndio maana sisi waislam tunamuhesimu sana yesu na kuwa bora na mama maria ambae ni mariam kwetu ni mtukufu.Lkn paulo katuletea balaa la kila aina kwa kuichakachua bibilia. Hoja ya kuoa muislam au mkiristo. Muislam wa kike ni najsi kuolewa na mkiristo mwanammme. Mwanamke wa kiislam ni msafi haifai kuolewa na mkiristo
Wewe umeolewa chungu cha ngapi mpaka wa leo?
 
unandaa ndoa yako ya mkristo na mwislamu?kwani wewe dini gani?
 
Hii mijadala imekuwepo miaka nenda rudi. wapo walioafiki upande mmoja, na wapo wengi tu wasiotaka kukubaliana na upande wowote. In short, fanya homework yako, ujue unataka kukaa upande gani, au usiwe na dini kabisa..
 
Haya mambo ya imani kwa kweli ni magumu hasa linapokuja suala la ndoa kwa watu wa imani tofauti!
 
hata yesu wakati wake alikuwa habaki. Lkn paulo ndio kaanzisha mambo haya. Ndio maana sisi waislam tunamuhesimu sana yesu na kuwa bora na mama maria ambae ni mariam kwetu ni mtukufu. Lkn paulo katuletea balaa la kila aina kwa kuichakachua bibilia. Hoja ya kuoa muislam au mkiristo. Muislam wa kike ni najsi kuolewa na mkiristo mwanammme. Mwanamke wa kiislam ni msafi haifai kuolewa na mkiristo
(wagalatia 3:1:cool: Maana, kama zawadi ya Mungu inategemea sheria,basi haiwezi kutegemea tena ahadi ya Mungu. Kumbe,lakini Mungu alimkirimia Abrahamu kwa sababu aliahidi. Ya nini basi sheria? Iliongezwa hapo ili kuonyesha uhalifu ni kitu gani, mpaka atakapokuja yule mzawa wa Abraham aliyepewa ile ahadi. Sheria ililetwa na malaika kwa mkono wa mpatanishi. (22-26) Je, sheria inapingana na ahadi za Mungu? Hata kidogo! Maana,kama kungalitolewa sheria ambayo ingeweza kuwapa watu uhai,basi, tungeweza kufanywa waadilifu kwa njia ya sheria. Lakini sivyo; Maandiko Matakatifu yamekwisha sema kwamba ulimwengu upo chini ya utawala wa dhambi; na hivyo, wenye kuamini watimiziwe ile ahadi aliyotoa Mungu, kwa KUMUAMINI YESU KRISTO. Kabla ya kujaliwa IMANI, sheria ilitufanya tuwe wafungwa,tukingojea imani hiyo ifunuliwe. Basi, hiyo sheria ilikua kama mlezi wetu mpaka atakapokuja Kristo, ili KWA NJIA YA IMANI TUFANYWE WAADILIFU MBELE YAKE MUNGU. Kwa njia ya imani, nyote mmekua watoto wa Mungu kwa kuungana na KRISTO. (5:18) KAMA MKIONGOZWA NA ROHO, BASI, HAMKO TENA CHINI YA SHERIA.J
 
Una hoja ya msingi sana.
 
hamjuimungu wa kweli. Kwa hivyo muislam kumuoa mkiristo lazima asilimu . Hakuna ndoa ya watu wa dini togfauti

Ms
, naomba unielimishe hivi ni kwa nini viongozi wengi wa nchi za kiislamu/ kiarabu hawajaoa wanawake wa kiislamu?
Mfano kwa uchache ni hawa, Yasir Arafat, Hosni Mubarak, mfalme wa Morroco, Rais wa Syria na wengineo, naomba kujulishwa tu, mkumbuke hili sio jukwaa la mihadhara hapa ni hoja kwa hoja.
 
Dini ya kweli ni kujipenda wewe mwenyewe; kumpenda jirani yako na kumsamehe yuke aliyekukosea. Jinsi gani utaitafsiri au kwa madhehebu gani sioni kama ni kitu cha kuumiza kichwa na zaidi kujenga chuki ambayo Mungu wa kweli hapendi..
 
hamjuimungu wa kweli. Kwa hivyo muislam kumuoa mkiristo lazima asilimu . Hakuna ndoa ya watu wa dini togfauti
Kwahiyo huyu Mungu wa Msamaha mpenda watu wote sawa, siku ya mwisho ataniambia, "kijana umefanya mambo yote sawa, lakini huwezi kuja kwangu sababu ulioa mtu wa dini tofauti"..... Hii kweli inaingia akilini kwako, sababu kwangu naona kama vile inakwenda kinyume na Imani ya Upendo.
 
Epusha usumbufu, jitafutie kabinti safi kakikristu ujiolee mule maisha!
Sasa mkuu utakuta umepata msichana mzuri wa kiislam na ana tabia zote za kuwa mke wa kuoa anakueleza kuwa kakupenda lakini dini yake ndio tatizo na ikiwezekana wewe ndo umsaidie. Halafu pia unamkubali kwelikweli. Utafanyaje?
 
hata yesu wakati wake alikuwa habaki. Lkn paulo ndio kaanzisha mambo haya. Ndio maana sisi waislam tunamuhesimu sana yesu na kuwa bora na mama maria ambae ni mariam kwetu ni mtukufu.Lkn paulo katuletea balaa la kila aina kwa kuichakachua bibilia. Hoja ya kuoa muislam au mkiristo. Muislam wa kike ni najsi kuolewa na mkiristo mwanammme. Mwanamke wa kiislam ni msafi haifai kuolewa na mkiristo
Pumbavu!!! Wewe mwenyewe mchafu! Wangekuwa wasafi mngehangaika kuwapiga talaka na kuoa wanawake wengi?Upuuzi hata sisi hatuwataki ndiyo maana tunawapita tu! Kwanza wana majini hao. Mara oooh niruke ukuta! Tutaweza wapi hiyo laana sisi?
 
Kuna point hapa.
 
malaria sugu ni najisi na kafiri............................kafie mbele na jihadi zako
 
Epusha usumbufu, jitafutie kabinti safi kakikristu ujiolee mule maisha!

Chukulia dini kuwa ni "Personal Item". Usihusishe, usitukane na kusumbua watu wa dini nyingine. Kila mtu na imani yake.
Ndoa pia ni "personal item". Ni bora kuoa au kuolewa na mtu ambaye mtaelewana lugha.
 
Back
Top Bottom