Nancy Sumari (Miss world Africa) is expecting...

aisee, jamaa ndo alikuwa anamega dogo dogo hii, wanaume tuna kazi yaani jamaa katafuta ka kuku kachanga ili ale pamoja na mifupa yake ha ha ha ha ha
 
wekeni picha ya Lucas tumuone jamani,ili umbea uendeleeeeeeeeeeeeeeeee kunoga!:wink2:
 
Madame Maria Roza,

Please, umeisha amua kulikamua jipu si basi malizia kuliminya uchafu wote uuishe? ha ha ha tuwekee picha ya huyu mshaija Lucas mmiliki wa mtandao wa bongo 5.
 
SDC12198[1].JPG To give a hand to madam Maria Roza. Nimeiona hii picha kwenye blog ya cpwaa. Lucas wa Bongo 5 akiwa na DJ Choka.....

Madame Maria Roza,

Please, umeisha amua kulikamua jipu si basi malizia kuliminya uchafu wote uuishe? ha ha ha tuwekee picha ya huyu mshaija Lucas mmiliki wa mtandao wa bongo 5.
 
Mkale,

Shukurani naam tumemjua baba mtarajiwa, anyway kitanda hakiza haramu akitokea baniani yote shukurani kwake mola tu
 
vipi jamani bi mnanga amejifungua? Nataka nikamwangalie mtoto kama amefanana na.......
 
Nani aliyempa ujamwepesi? Maana mara ya mwisho nilimuona akiwa na kiwia irene maeneo ya mbezi samaki nyumbani kwa irene.Hongere mama nancy mwambie dada yako amekua bonge kama puto apungue bwana ndo maana M1 kasepa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom