Nancy Sumari (Miss world Africa) is expecting...

Leornado

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
1,529
196
Our one and only miss TZ who managed to reach top five in Miss world, Nancy Sumari is expecting... Congrats Nancy.

Pichani Nancy akiwa na "mshirika kibiashara" Ally Rehmtula.

31374_391248111087_505741087_4273387_4967640_n.jpg

31974_397535686087_505741087_4439211_5832624_n.jpg

19268_258002796087_505741087_3494716_3909727_n.jpg
 
Goosh!...atatuletea mtoto 0.5mswahili huyu binti yetu!...huh!

Na huyu Ally Remtulla ni mshirika wa kibiashara wa namna gani, maana kwenye picha ya kwanza naona wako kama sio beach basi ni kando ya swimming pool...au ndio hotelini wanayoiendesha kwa ubia kama si usoda!
 
Si unajua tena Nanyc na Rehmtulla wote wajasiria mali, mara nyingi wanashirikiana kuandaa events as Nancy is a partner in Frontline Management na Rehmtulah fashionista.
 
all the best Nancy,tuletee baby mzuri kama wewe!!!

Sidhani kama Remtullah ndo baba mtoto mtarajiwa.......hajaoa huyo jamaa,nilisikia Nancy alisema baba watoto ni mume wa mtu.....sasa sijui!!!
 
all the best Nancy,tuletee baby mzuri kama wewe!!!

Sidhani kama Remtullah ndo baba mtoto mtarajiwa.......hajaoa huyo jamaa,nilisikia Nancy alisema baba watoto ni mume wa mtu.....sasa sijui!!!

Tusubiri kiumbe kitakachozaliwa then ukweli utajulikana, manake damu ya kihindi haijifichi. Kuwa karibu na Rehmtulla sio lazima awe ndie mwenye mzigo, anampa "kampani" tu.
 
Tusubiri kiumbe kitakachozaliwa then ukweli utajulikana, manake damu ya kihindi haijifichi. Kuwa karibu na Rehmtulla sio lazima awe ndie mwenye mzigo, anampa "kampani" tu.

duuu waswahili kiboko, mnasubiri mtoto azaliwe mmtafute kumwona kama mswahili, msomali, mhindi au mzungu???? kwani hamna kazi ya kufanya yenye tija???????
 
She is a woman, and having babies is one of her natural responsibilities. What is the matter?
 
hakuna tatizo me nampa sana bigup huyu bi dada. sioni tija ya nani baba kijacho, kwani hiyo ni another side of her life anaweza kutuambia ama kukaa kimya
 
hongera Nancy...ila kama ni mume wa mtu unakosea bidada....:A S 13:

hapo ndipo paliponishinda.......kwa title aliyonayo ninaamini kuna singles kibao ambao wangependa kummiliki......konkyubaini!!!!....nooooo.....sishauri
 
Yaani na urembo wote huo ameshindwa kupata senior bachelor wa miaka 35-40 amuoe ....maana ukikuta wanawake wazuri wanazaa wanakwambia wavulana wa level yao hawaajatulia....

anyway its her constitutional right...lakini Nancy is a wife material..
 
ha ha ha ha PM, usishangae ukakuta kumbe mdosi ndo alikuwa anamega
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom