Namzimia shyrose

She's brave lakini! Kashagombea nyadhifa kibao akakosa lakini bado yumo!
 
Jitahidi uwe papa ule vitu mwanangu, si unajua mkono mtupu haulambwi.
mimi namsifu sana huyu dada ni mtu amesoma vizuri,ni mchapa kazi nazaidi ni mvumilivu sana na hakati tamaa na hana kinyongo,nilimshuhudia wakati anagombea nyadhifa za chama. big up shyrose. ninasikitika kwa wale wote wanaokuchafua ,waache na wakome
 
Unaweza vipi kusema unmzimia Shyrose? Yule sio mke wa mtu?
Hii ndio maana Mbunge mmoja,nadhani alikuwa ni Beatrice Shelukindo,ambaye alisema katika Bunge kwamba Jamii Forums wanaandika mambo ya kihuni. Ha ha ha.
 
Hapo kwa red, hebu elaborate zaidi:biggrin1::biggrin1:! Huenda ikamsaidia ttozi bweka kufanya uamuzi sahihi.

Ilikuwa wakati ule akitangazia TVT nadhani ndo alikuwa habanduke mitaa hiyo,kwa sasa sijui maana nami sijatia mguu huko long.
 
Wewe TTOZI BWEKA lazima utakua Msukuma manaake hao ndio huwaga wanazimia sana kwa wanawake "weupe"
 
mimi namsifu sana huyu dada ni mtu amesoma vizuri,ni mchapa kazi nazaidi ni mvumilivu sana na hakati tamaa na hana kinyongo,nilimshuhudia wakati anagombea nyadhifa za chama. big up shyrose. ninasikitika kwa wale wote wanaokuchafua ,waache na wakome

Ok, nimekusoma, sitaki kuwa mbishi wa jf.
 
Hayaolewa..na ndiyo maana anatangaza biashara yake kwa watu maarufu. Leo yuko na huyu umaarufu ukiisha anatafuta mwingine..miaka yote anahangaika na watu maarufu tu wengi wenye wake zao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom