Namzimia huyu mkaka jamani.............too bad ameoa....!

Hii kitu ndo inaharibu akili yako...Umeruhusu pornstars to define you...unahitaji vidonge

ila tunachotazama si ndio kina akisi maisha yetu???kwani tunayoyaona hayatokani na fantasy zetu? wangeuza vipi?:mod:
 
Thanks michelle kwa maneno ya busara....lakini huko mapenzi ya online nahisi ni magumu sababu hamna touching,kissing fondling i think yamebase na purely what you see....mie nahisi kwangu itakuwa ngumu kidogo kufanya lol,bora hayo mengine kama kunyonya anakunyonya sasa kukuangalia tuu pekee itakuwa ngumu labda mtu anipe tips cha kufanya huko.....:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:(anyway nimeshampotezea yule kaka kwangu mie hii kitu imekaa immoral kama kula tigo,mtu akiniomba niende naye online naona kanikosea adabu sijui kwa nini:biggrin1:)
(

Nakubaliana na wewe hayo mapenzi ni magumu hasa pale mtu anapokuwa ana demand mambo kama hayo ya ku strip...siyawezi wala sitakaa nimshauri mtu ninayemtakia mema aonyeshe mwili wake online...kama hawawezi kusubiriana au kutumia njia zinazoheshimu na kulinda utu na heshima ya mtu na usalama wa privacy yake it doesn't worth it...vizuri umepotezea,uwe na amani yako kuliko kuuza utu wako na kuishi na hofu na aibu.:A S-rose:
 
Thanks michelle kwa maneno ya busara....lakini huko mapenzi ya online nahisi ni magumu sababu hamna touching,kissing fondling i think yamebase na purely what you see....mie nahisi kwangu itakuwa ngumu kidogo kufanya lol,bora hayo mengine kama kunyonya anakunyonya sasa kukuangalia tuu pekee itakuwa ngumu labda mtu anipe tips cha kufanya huko.....:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:(anyway nimeshampotezea yule kaka kwangu mie hii kitu imekaa immoral kama kula tigo,mtu akiniomba niende naye online naona kanikosea adabu sijui kwa nini:biggrin1:)
(

Nina wasiwasi na ubongo wako..Unahitaji kuingia theatre
 
Ujana maji ya moto bana, juzi nilitoka vidonda vya mdomo na nikiangalia nina vitamn c ya kutosha. Hafla usiku nikaota Kondomz zinaongea na mimi halaf kama zinanisuta hivi. Dah! nimeamua kuvikimbia vyanzo vyote vya uasherati inkluding gesti. Sasa naishi sehem flani, kulia kuna mskiti kushoto kuna kanisa.
wakati wako wa kuokolewa na bwana umefika....hongera sana...itii hiyo sauti Kloro....utaishi muda mrefu...l.o.l
 
ila tunachotazama si ndio kina akisi maisha yetu???kwani tunayoyaona hayatokani na fantasy zetu? wangeuza vipi?:mod:

Live your life my dear Pauline...Do not let anyone define whats best for you...you know yourself better...have fun RESPONSIBLY...!!
 
nimepotezea michele,mwili wangu hauko attractive,mie ni mnene halafu sina maziwa saa sita hahahahah,(sio confidence isssue ni ukweli i dont like the way i look naked,ningekuwa na mwili kama wale naowaona kny porn ningekuwa na confidence ya kustrip infront of him...huko skype hahahaaaaaaaaaaaa:A S-rose:
hii ndiyo shida kubwa ya wanawake, kutojikubali. hii ikiendelea hupelekea hata kufuru juu ya Mungu kwa nini uliniumba hivi badala ya kama yule! Kila bishara na mteja wake, hata nyanya masalo ina wateja wake.
jikubali kwanza kisha punguza mbwembe, kuna kipindi thread zako nachanigia kama comedy fulani ingawaje naanza kupata kapicha fulani ya jinsi wewe ulivyo.
 
kwani nina mbwembwe Mzee?? embu tell me?
 
hii ndiyo shida kubwa ya wanawake, kutojikubali. hii ikiendelea hupelekea hata kufuru juu ya Mungu kwa nini uliniumba hivi badala ya kama yule! Kila bishara na mteja wake, hata nyanya masalo ina wateja wake.
jikubali kwanza kisha punguza mbwembe, kuna kipindi thread zako nachanigia kama comedy fulani ingawaje naanza kupata kapicha fulani ya jinsi wewe ulivyo.

bora wewe umezunguka
 
ni kawaida kabisaaa kupenda/kutamani waliooa/kuolewa....ila usivuke mipaka...keep flirting...i enjoy flirting as well!!
..........Love me/flirt me/tamani me......:attention::attention::attention::attention::attention::attention::attention::attention:
 
Back
Top Bottom