Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Namwonea huruma mwenzangu

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by ngoshwe, Oct 26, 2012.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,068
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Brajec Club: Mwanaume mwenzangu yu karibu na meza yangu,namwonea huruma sana ni kama King Mswati, meza yake imezungukwa na mabinti kama sita ambao wanapiga nywaji kali. Ni mabinti wa chuo kwa aina ya maongezi yao, mshikaji ni kama M Congoman, hana kauli.
   
 2. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 22,330
  Likes Received: 1,761
  Trophy Points: 280
  Jiunge na wewe...
   
 3. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 548
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Fanya yako!
   
 4. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  umenikumbusha mbal kitu cha brajec nataman kurudi mjini lol
   
 5. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  duuh hapo jamaa laki mbili tatu lazima imtoke na hivo ni mwisho wa mwezi watu washapewa haki zao...basi kazi kweli kweli....watu watakoma wkend hii
   
 6. Mabreka

  Mabreka JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 709
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kuzaliwa mwanaume ni mtihani tosha.
  hapo unaunguza laki kadhaa halaf hata K hapati.
  Mi ndo maana naonekanaga mshamba
   
 7. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,761
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0
  Enzi hizo ukitoka mlimani city break ya kwanza brajec! lol
   
 8. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hahahahah km ulikuwa waniona vile chezeya kupelekwa rural wallah wameniweza
   
 9. ney kush

  ney kush JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 785
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  unamwonea huruma au unatamani
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 28,087
  Likes Received: 2,757
  Trophy Points: 280
  ndo fahari ya mwanaume wa kiafrika
   
 11. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #11
  Oct 28, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,394
  Likes Received: 561
  Trophy Points: 280
  Wivu huo, mwache mwenzio atumie hela imzoee.
   
 12. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #12
  Oct 28, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,016
  Likes Received: 1,180
  Trophy Points: 280
  Baelezeee! Wenzao wanalilia kuchunwa hawaoni wa kuwachuna.
  Hivi wanawake tusingekuwepo hela ingekuwa na thamani kweli?
   
 13. N

  Nyukibaby Member

  #13
  Oct 28, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  fanya yako! Bro!
   
Loading...