Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,101
- 6,025
Jamani, nani kakuambia mimi ni mwanaume?
kahiyo ww gurudumu ni mwanamke au....shemale??
Jamani, nani kakuambia mimi ni mwanaume?
duh safi sana gurudumu.
hii post ingewekwa kwenye gazeti lingemfikia kabisa huyu mama.
kwa kipindi hichi huwa wanapenda sana kusoma magazeti ili waangalie madudu waliyofanya na wananchi wana sema nini.
Anna Makinda juhudi za kinazi alizoingiz nazo bungeni ambazo ni ushauri aliopewa na CCM kudhibiti ukweli utamtokea puani. Siku likimfika la kumfika na huyo mnafiki mwingine Ndugai marafiki wooote waliomshauri ujinga watamkana kama petro na Bwana yesu.
Ninapata hasira ninapoona watu tuliowapa dhamana wanaamua kuwafokea wabunge kama watoto na kuwapiga mkwara mbuzi ambao nafikiri Makinda asipokuwa makini bunge la wakati huu litakuwa la ngumi mkononi na kupaisha viti kama Kenya ,Korea ya kusini na Somalia. Apunguze munkari la sivyo hatamaliza five years anatupa hasira mbaya sana sana na uchungu mno mno.
tupe vithibitisho kuwa aliyosema waziri mkuu ni uongo?una kazi wewe mwanaume?:laugh::laugh:
duh safi sana gurudumu.
hii post ingewekwa kwenye gazeti lingemfikia kabisa huyu mama.
kwa kipindi hichi huwa wanapenda sana kusoma magazeti ili waangalie madudu waliyofanya na wananchi wana sema nini.
Najua barua yangu imeshamfikia Spika, ningefurahi sana kama angetekeleza mara moja. I cannot imagine wiki ijayo tena wataendelea na huo mchezo wa kuigiza unaotupotezea pesa zetu
najua kuna wanaofaidi sana na bunge kukaa, na mmoja wao alianzisha post kwamba nipewe ban hadi bunge liishe, lakini nasikia uchungu na pesa zangu. sioni tija yoyote!!
tupe vithibitisho kuwa aliyosema waziri mkuu ni uongo?una kazi wewe mwanaume?:laugh::laugh:
Hujui kama kesi imeahirishwa polisi wanatafuta ushahidi ??? sasa huyo PM katoa wapi hiyo conclusion kama Mhe. Hakimu bado anasikiliza hiyo kesi ?
Inasikitisha mno kuona bunge limekuwa la kisanii lisilo address matatizo yanayowasumbua wantanzania katika kila kona. i wish ingewezekana hivyo.