Namuunga mkono Anna Kilango Malechela kwa nguvu zote

uthubutu anao maana kumbuka alishawahi kugombea ilala...kwani shida nn kiongozi ni yule mwenye kuleta maendeleo kwenye jamii na siyo porojo kwani hicho kiwanda cha tangawizikimeishia wp
 
hapa hatuangalii kuwa na jimbo tunaangalia uwezo wa kiongozi maana km sophia simba hana jimbo mbona hata kilango hana uwaziri au utukumbushe wizara yake
 
huifahamu vizuri uwt ww uliza uambiwe hawa wamama bwana wanafanya kazi na hii inatokana na uongoz thabiti uliopo juu kwao..ss hv wana vicoba na saccos kila mahala na wanatumia tekinologia ya juu ya mitandao
 
Kwani Anna kilango si ndiye ameolewa na Yule kikongwe wa dodoma mtera? Kama ndiye yeye hafai

Ndiye huyo huyo. Namkumbuka enzi zile anaishi Mwananyamala ugomvi na majirani ulikuwa hauishi, alituchosha. Tunamshukuru mzee kwa kumuoa maana sasa tunaishi na kulala muruwaaaa.
 
Ndiye huyo huyo. Namkumbuka enzi zile anaishi Mwananyamala ugomvi na majirani ulikuwa hauishi, alituchosha. Tunamshukuru mzee kwa kumuoa maana sasa tunaishi na kulala muruwaaaa.
Mkuu umevunja mbavu zangu Kumbe ni Kama tarumbeta tokea zamani nafikiri huko mtera wanaipata
 
Back
Top Bottom