Elections 2010 Namuombea slaa kura

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,888
Kama kakukosea msamehe,natubu kwa niaba yake,naomba kesho ukakuratafadhari...!!mfumo wa utawala umezeeka so inabidi ubadilishwe.kesho usifanye kosa utakalokumbuka na kujutia miaka 5.mpe slaa kura yako.asanteni sana
 
Asante sana. Umejitahidi, anaweza akapata kwa humu!
 
Tuko pamoja kwenye maombi, nawapigia ndugu na jamaa zangu tusifanye kosa kesho
 
Kama kakukosea msamehe,natubu kwa niaba yake,naomba kesho ukakuratafadhari...!!mfumo wa utawala umezeeka so inabidi ubadilishwe.kesho usifanye kosa utakalokumbuka na kujutia miaka 5.mpe slaa kura yako.asanteni sana

Mkuu Jambo la msingi Piga simu kwa Ndugu zako na waeleze kuhusu umuhimu wa Mabadiliko, Waambie Mabadiliko ni muhimu sana
 
Hata kwa hela siwezi kumpa kura Slaa,mmh lakushangaza makamu wa rais wa Slaa kafeli la saba,vipi tutaongozw na uzoefu pasipo elimu,mmh ahadi ya elimu ya slaa haitofaulu,mwanzo amtahini mgombea mwenza
 
Hoja ya kitoto.
Tuna mawazir wenye forged PhDs.
Ungozi si elimu. You ever heard the sayin 'Some Leaders are born while others a made.'
One simple question,
Professor Magembe na elimu yake kafanya nin? Dr. Bilali? Dr. Kikwete?
Jibu la maana tafadhali!
 
hivi wewe unaongea pumba gani"silaha ndo chaguo letu inawezekana wewe umeshapewa chupi za ccm"MUNGU BARIKI TANZANIA,MUNGU MBARIKI DOCTOR SLAA
 
Hata kwa hela siwezi kumpa kura Slaa,mmh lakushangaza makamu wa rais wa Slaa kafeli la saba,vipi tutaongozw na uzoefu pasipo elimu,mmh ahadi ya elimu ya slaa haitofaulu,mwanzo amtahini mgombea mwenza
kwani una umri gani? Maana maneno yako ni kama mtoto wa miaka 16. hata kama una PhD, inaoneka haijakusaidia.
 
Hoja ya kitoto.
Tuna mawazir wenye forged PhDs.
Ungozi si elimu. You ever heard the sayin 'Some Leaders are born while others a made.'
One simple question,
Professor Magembe na elimu yake kafanya nin? Dr. Bilali? Dr. Kikwete?
Jibu la maana tafadhali!

usisumbuke kumpa jibu uyo taila. Elimu ya makamu itamuumizaje dr.slaa. Je ameiona katiba ya chadema au anaropoka tu! Mkuu muache uyu!
 
kura za slaa zitaishia humu humu mitandaoni .hapati urais n'go .jidanganyeni hivyo hivyo .matokeo ni haya kikwete kura 65% and 35 for the losers
 
Back
Top Bottom