Namuogopa sana lizy!

Vivian nakuja na gia ambayo ni ya yale magari ya zamani zile fiat na scania sijui kama utachomoka hapo na sio siredi tuu na mambo mengine mbalimbali

Mimeshasikia Ngonjera zenu zote!

1. Usiniombe No. ya simu
2. Usiniulize nafanya wapi kazi
3. usiniulize kama nimeshawahi kuwatch muvie fulani.
4. usinikaribishe kinywaji
5. Usiniulize nilisoma Chuo gani.
6. Usiniulize kama ninaye au nishawahi kuwa na Boyfriend.
7. Usinipe offer ya kunitoa out.

Tukitoa hivi vyote unakuja na gear gani?
 
Mimeshasikia Ngonjera zenu zote!

1. Usiniombe No. ya simu
2. Usiniulize nafanya wapi kazi
3. usiniulize kama nimeshawahi kuwatch muvie fulani.
4. usinikaribishe kinywaji
5. Usiniulize nilisoma Chuo gani.
6. Usiniulize kama ninaye au nishawahi kuwa na Boyfriend.
7. Usinipe offer ya kunitoa out.

Tukitoa hivi vyote unakuja na gear gani?

Damn baby...that's kinda mean, you know!
 
Mimeshasikia Ngonjera zenu zote!1. Usiniombe No. ya simu2. Usiniulize nafanya wapi kazi3. usiniulize kama nimeshawahi kuwatch muvie fulani.4. usinikaribishe kinywaji5. Usiniulize nilisoma Chuo gani.6. Usiniulize kama ninaye au nishawahi kuwa na Boyfriend.7. Usinipe offer ya kunitoa out.Tukitoa hivi vyote unakuja na gear gani?
unapenda zawadi gani?
 
Mimeshasikia Ngonjera zenu zote!

1. Usiniombe No. ya simu
2. Usiniulize nafanya wapi kazi
3. usiniulize kama nimeshawahi kuwatch muvie fulani.
4. usinikaribishe kinywaji
5. Usiniulize nilisoma Chuo gani.
6. Usiniulize kama ninaye au nishawahi kuwa na Boyfriend.
7. Usinipe offer ya kunitoa out.

Tukitoa hivi vyote unakuja na gear gani?

Siji na gia yoyote kati ya hiyo. Kwani nikuombe no ya simu ya kazi gani utanipa kwa mapenzi yako mwenyewe. Kazi yako kwani inanihusu nini kwani nataka kujua au kupata sehem ya mshahara wako au ni ya nini. Movie aaahhh za kazi gani kwani natafuta kuangalia movie na wewe kwanza kwetu sina tv wala sijawahi kuangalia movie ninayoijua ni ile ya kuonyeswa kwenye kitambaa mtaani kwetu. Kinywaji sijui mara ya mwisho nilikunywa soda lini so kukukaribisha kinywaji wkati mimi mwenyewe sinywi ni issue nyingine. Elimu yako hainisaidii maana hata mimi sijasoma so kama una degree sio certificate hizo ni za kwako. Boy friend kama ushawahi kuwa nao si walikuwa wa kwako sasa mie wananihusu nini,. Mimi nakutaka wewe hata tukipangana ishirini mimi sina maneno.
Out mhhh ndo wapi tena huko may be unifafanulie
So hapo nakuja nikiwa mpya na sio kwa gia hizo
 
Trying to see experts in changing CD. tired of listening to the same songs!

Baby..you ain't gonna hear anything new. It's gonna be the same 'ol same 'ol. At least I can sing you a lullaby when you want to go nyte nyte.
 
VIVIAN..
Missing you...
more and more each day
just seeing your posts
takes my breath away
one PM from u
would make everything ok
Always bin dreaming of you
and wish with me you'd stay
no words can express
how much I need you
how my love is so true
but i will spend this night
once again, missing you!!!!
 
Something is goin on here!Let me do something!

VIVIAN..
Missing you...
more and more each day
just seeing your posts
takes my breath away
one PM from u
would make everything ok
Always bin dreaming of you
and wish with me you'd stay
no words can express
how much I need you
how my love is so true
but i will spend this night
once again, missing you!!!!
dah i wish ungeniimbia mimi dah lizzy una bahati jamani uuuuuuuuuuwi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom