Namtambulisha wiki ijayo

Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,347
11,610
Nimefunga mchakato wa kutafuta rafiki sasa majibu wiki hii hapa jamvini asanteni kwa ushirikiano wenu

nahisi kutapeliwa na magume gume ya humu JF ngoja nisubiri atatajwa nani lol,bebii you are too inocent jamani

Bebii na we hujatulia...ungeupdate pale pale kwenye thread ya kutafuta badala ya kuanzisha mpya.

bebii naomba nikupe kaushauri kidogo, nahisi utakua unajitafutia matatizo ktk maisha yako ya baadae
unaemtafuta huku mtandaoni humjui hakujui
vigezo unavyovitaka siyo rahisi sana mtu kuwa navyo vyote

ushauri wangu kwako ni huu jaribu kutafuta mtu ambaye kidogo unaemfahamu (nadhani kwa vyovyote kuna mtu alishajitokeza)

alishanipata.

Back
Top Bottom