Namtamani mdada fulani humu

jf ni kama one big high school now

the lats time mmetujazia ma threads humu mkitangaza wewe na preta mnakaribia kufunga ndoa..

leo umekuja na hili

what next???????

u know this verse 'i keep on falling,in and out of love,with u!...' labda anafall kwa preta again,i mean afresh,lol!
afu ujue leo zamu yako kufagia darasa

jf ni kama one big high school now

the lats time mmetujazia ma threads humu mkitangaza wewe na preta mnakaribia kufunga ndoa..

leo umekuja na hili

what next???????

Yaani wadada wa humu tumeapa hanna kuchakachuliwa hapa ni mwendo wa invisible tena ushindwe

Hata mi nina hamu kweli ya ku-date na mdada mmoja huku,
Si ujitokeze tu jaman tutoke out one day.

Hata mi nina hamu kweli ya ku-date na mdada mmoja huku,
Si ujitokeze tu jaman tutoke out one day.
Shark kumbe ndiyo zako hizo!! Kwenye thread yangu ya NIMUOKOE NANI ulisema "Mama" kumbe unanyemelea mabinti wa JF wakati huna upendo wa dhati na mke?? Nitawaambia wajihadhari nawe.

u know this verse 'i keep on falling,in and out of love,with u!...' labda anafall kwa preta again,i mean afresh,lol!
afu ujue leo zamu yako kufagia darasa

ha ha ha.... Sometimes I Love ya.... Sometimes you make me blue....

kuwa makini utatamani kakazako humu ndani usiangalie majin a mbaya watakuingiza mpaka kwenye 90 uje kuvunjika moyo useme MUNGU kakuacha ajakuachaufahamu omba upate wako kutoka kwa MUNGU

kevin, uwill have to pay for the bullet hun... they ar expensive and cant be wasted,lol

No worries. I got pockets full of Ben Franks.

Btw, what kinda gun is that? It looks like it could be an assault riffle - M16.

Similar Discussions

Back
Top Bottom