Namtafuta Zenobia Marcel Mtenga au Serena Mtenga

Zogwale

JF-Expert Member
Jul 10, 2008
15,287
10,842
Ngugu wanajamii wenzangu,
Ninaombeni msaada wenu kunipa taarifa za kuweza kumpata dada Zenobia Marcel Mtenga, jina la kusomea au Serena Mtenga (jina halisi). Huyu Dada anotoka Rombo Sijui sehemu gani. Alisoma Ruvu Secondary miaka ya 1980s na baadaye alijiunga High Level Loleza Secondary kama sikosei. Ninamtafuta sana kwa juhudi kubwa na kwa jambo jema tu. Nafahamu pengine atakuwa ni mke wa mtu kwa sasa maana ni muda mrefu, mumewe asiwe na hofu hata kidogo. Ninaomba unayechangia weka maoni ya kusaidia si kejeli. Asanteni sana kwa msaada wenu.
 
Pliizi jitokezeni nipatie taarifa za huyu dada/mama.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom