Namtafuta Yusuf Kapanda

Ikumbilo

JF-Expert Member
May 14, 2010
456
64
Ndugu wa JF, nachukua fursa hii kumtafuta ndugu yangu tuliepoteza naye wakati nikiwa Mzinga Morogoro mwanzoni mwa miaka ya 2001.

Kama unataarifa zake basi naomba mnisaidie. Natanguliza shukrani.

Asante.
 
Yusufu Makamba alikuwa katibu mkuu wa ccm, kwa sasa anapatikana soni pale tanga namba yake 075505391
 
Asante kwa kunisaidia,maana nilishituka kidogo kuona ni Makamba tena. Duh,uchakachuaji hadi kwenye majina?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom