Namtafuta the Boss

Wamemtoa kwenye jf udaku "Theboss amekamatwa na mke wa mtu. aamua kuitelekeza familia na kukimbilia nje ya nchi"
 
Wamemtoa kwenye jf udaku "Theboss amekamatwa na mke wa mtu. aamua kuitelekeza familia na kukimbilia nje ya nchi"

kongosho umesikia?na uliyekuwa unamuosha ni kinyago chake ulichochonga kama kumbukumbu utabaki kuona maua yakichanua kaburini wakati chini kitu kimebaki fuvu
 
Tenda ipi tena wakati biashara iliisha kitambo?
Kongosho, ukimtaka yule pet njoo kwangu tuongee.
Namkodiha kwa masaa.



Kwa hiyo wewe ni special deliver?
Ndio maana yake


Hivi huwajui wanawake wewe??
Anakutia wivu bure.
Huyu hata nimkute na The Boss wala sishtuki
najua mbinu za wadada
And you'd be right. Hata yeye kachagua kutumia inbox yangu
sababu ananiaminia sana, I am a good girl (mkibisha muulizeni)


Eti eh? Yasije yakawa kama yale ya Diamond na Wema Mlimani City
Ilitokea nini hapo?
 
Huyu madu duu nahisi namfaham,ni flan kwa ID mpya?

vitu vya kichinachina hadi jina la kichina unashindwa kuliona. sio kwamba unahisi ndo mimi Ma doudou mwenyewe mkewe YUWE FROM REPUBLIC OF CHINA DADAYE MAFOUNG WIFIYE YUAWE MKWEWE YANG CHU una lingine sisi wewe BISHANGA BISHAIJA MZEE WA TOTOZI uliyekuja kuniagiza bidhaa toka CHINA kwa ajili ya kumpata KONGOSHO,MWALI,CANTA,SL NA HUSNINYO sijui utamwambiaje REJAO,JUDGE, JAPOKUWA MDOGO WANGU VIVIAN KAKUKATAA
 
ulitaka tuambizane I DO kwenye sredi za watoto
sie wazee wazima huwa tunaangalia tu.

Just stay away from my kichane cha ndizi.

Gusa wengine wooote lakini hapa nitakupoteza, najua kucheza rafu na fair.

Kwanza. Sasa hivi nimemwambia kuloug off jei efu.

Tafuta dogo dogo wenzio, labda jaribu Bagah anaweza kukufaa.

i like you Kongosho,hahahaa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom