Namtafuta suzan wa mbezi

Yona F. Maro

R I P
Nov 2, 2006
4,202
218
Namtafuta sana Suzan wa mbezi alipiga simu katika kipindi cha MIDNIGHT MAGIC usiku saa 6 kipindi kinachoendeshwa na bro chiko siku ya jumanne usiku naomba tuwasiliane kwa email hollymaro@gmail.com
 
nimeomba contact sio kwa ubaya nina maana yangu jamani mimi ni msikilizaji wa kipindi hicho wanajamii sasa alitakiwa apige simu jana usiku hajapiga ndio namtafuta sana yaani saana
 
Suzan popote ulipo usikubali kuwasiliana na huyu Shy (Yona Maro), ni balaa, ni bingwa wa kitu inaitwa 'blackmail'. Atakuaibisha hadi utajuta!

Enhe, hebu fafanua haya maelezo maana yanaweza saidia wengi..
 
Namtafuta sana Suzan wa mbezi alipiga simu katika kipindi cha MIDNIGHT MAGIC usiku saa 6 kipindi kinachoendeshwa na bro chiko siku ya jumanne usiku naomba tuwasiliane kwa email hollymaro@gmail.com

Mjomba unataka kununua mbuzi kwenye gunia?. Kitu hujakiona, sauti tu inakupeleka speed?. Kuna midume mingine ina sauti tamu na nyororo kama za akina dada.
 
Ndugu yetu Shy, unamtafutia nini huyu Susan wa watu?. Kuna tuhuma dhidi yako ziliwahi kumwagwa humu. Hukuzijibu. Hii inamaana ni kweli, sasa umemsikia Susan na matatizo yake wewe unataka kuyafanya deal?.
 
Jamani mbona mwa mshambulia Shy bila msingi?
Hata kama kachenguliwa na sauti kwani ni vibaya?Ngoja awasiliane nae then amweleze kile anachomtafutia.
 
jamani mbona Shy ameuliza tu politely... mara ohhh mara sijui nini .... duh ukimpata Shy nambie lol
 
Ndugu yetu Shy, unamtafutia nini huyu Susan wa watu?. Kuna tuhuma dhidi yako ziliwahi kumwagwa humu. Hukuzijibu. Hii inamaana ni kweli, sasa umemsikia Susan na matatizo yake wewe unataka kuyafanya deal?.
Mkuu,tukumbushe hizo tuhuma,au tusaidie link ya huo uzi..
 
Mkuu,tukumbushe hizo tuhuma,au tusaidie link ya huo uzi..
Mkuu muhomakilo jr
hayo ni mambo ya 2008, miaka 9 iliyopita. Si vema na sii haki kukumbushia tuhuma mbaya za mtu ambazo ni za zamani. Tuhuma hizo zilipelekea huyu member kupigwa ban jf na kwa hasira aliachana na jf na kuanzisha forum yake. Hivyo yaliyopita sii ndwele tugange yaliyopo na yajayo.

Paskali
 
Duu.asante kwa taarifa mkuu..
 
Back
Top Bottom