Namtafuta ndugu yangu

prindi

Member
Sep 24, 2011
22
0
namtafuta ndugu yangu kwa jina ni benson b kaluwa mara ya mwisho 2lionana iringa na alielekea mwanza na mama yake aitwaye edda
 
Pole sana ndugu yangu,lakini ni bora ukaweka picha yake pamoja na maelezo zaidi ili kuwapa watu urahisi jinsi ya kukupata hasa kwa namba ya simu.Mungu atakujaalia kumpata akiwa na afya njema.
Good luck..
 
Back
Top Bottom