Namtafuta mrembo wa ku chat nae!

Mr.creative

JF-Expert Member
Aug 8, 2011
492
117
kama kawaida wana jf mimi ni a boy and am lookng 4 a girl to who i will share my views of life spheres!
 
No wonder umekosa huko mtaani... hamna mistari hata ya kumvuta kuelezea kwa nini avutiwe nawewe....
 
Inaonyesha nafasi za marafiki wa kiume zimejaa na sasa hivi unahitaji wa kike tu ili uweze kubalance equation! Lol!
 
<br />
<br />
hujanisoma bado asha dii am not after seducing!

Sio seduction peke yake inahitaji mistari.... kupata mtu ambae mta chat out of interest ina bidi ujue nini anapenda... it is books? Movies? Music? Talking? Travelling? Photography? Making friends or what ever... for inatakiwa iwepo opening line then mazungumzo mengine yatafuata with flow...
 
kama kawaida wana jf mimi ni a boy and am lookng 4 a girl to who i will share my views of life spheres!
Then what?And how long you will share your views of life spheres?
 
State ur interests in ur post like.. ( watching movies, swimming, reading n etc) it simplifies attracting people u could cope with..
 
yani napenda sana kuchart kama unatumia skype please niicheki kwenye PM nikutoe adress tulianzishe kama vipi hata Gmail .....mie sina nouma wangu napenda sana chart yani hapo tu ...loloolllll welcom my boy
 
Fikra za gono kila kukicha,then unalalamika maisha magumu.Mbona hutafute mtu wa hekima na busara wa kuchati naye ?
 
Fikra za gono kila kukicha,then unalalamika maisha magumu.Mbona hutafute mtu wa hekima na busara wa kuchati naye ? Unapepo kaombewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom