namtafuta mmu member awe mume wangu

Hapo kwenye Arsenal sawa kwa Simba no!Sitaki maradhi ya moyo mie!
 
Idd Amin.jpeg
Bebii huyo ndiyo mimi sifa zote ninazo
 
Hahahahaaaaaaaaaa mi nipo ila hopa kwa Arsenal na Simba hapana simba kanga moko kabisa weeeeeee masihala hayo
 
Kweny sifa ulizotaja hakuna kipengele cha kilo acha sound Bebii!
kitaendelea kesho ila kwa kifupi asizidi kilo 75 sasa hapo nadhani 200 kwenda juu unataka niwe vipande vipande loh?
 
Back
Top Bottom