Namtafuta Mh Nassari a.k.a Dogo janja

Ndekirhepva

JF-Expert Member
May 18, 2012
371
44
wakuu huyu jamaa sijamsikia, hivi yupo au ndo bado anasoma mchezo??
au kawa overloaded na majimbo mawili na la Arusha mjini???
 
haujafuatilia vizuri bunge hili. dogo yupo sana na leo alikuwa kakaa karibu na mamaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom