Namtafuta Mama Big

Nadhani hiyo retreat itamfaa sana babu maana kama alivyoahidi Mama Big akitoka hapo kila mtu ni Athipirin........, athipirin.............Athipirin.....Athpirin

Tatizo la Babu juzi alipewa nafasi ya kuitumia na hakuitumia ipasavyo akaisha kula kwa macho
 
Hahahahaahah Babu bwana au mlimtisha maana nlishangaa mapemaaaa anaaga jamani mie naishi mbali halafu anaogopa kumtizama Mama Big uson ah.......(Leo ntafinywa na Bibi maana mh)

Hujambo MJ1....hivi babu mpya na babu wa zamani ni yupi bora?

......roya Babu mpya ndo nani? Lol halafu mie sina Babu mmoja bana .....nyie wote si mababu au?......
 
Hahahahaahah Babu bwana au mlimtisha maana nlishangaa mapemaaaa anaaga jamani mie naishi mbali halafu anaogopa kumtizama Mama Big uson ah.......(Leo ntafinywa na Bibi maana mh)

......roya Babu mpya ndo nani? Lol halafu mie sina Babu mmoja bana .....nyie wote si mababu au?......

Laiti ungeona alivokuwa ananikonyeza..... Niliogopa kunusishwa bana, umri ushaenda huu. Tatizo mjukuu ulikuwepo, na ulivokuwa kambea habari zingefika kwa bibiyo. Na adhabu za bibiyo si wazijua lakini?
 
Swali langu halijamlenga yeyote....nauliza tu, babu mpya vs wa zamani yupi bora??:wave:
BTW: Umeona Babuyo anatoa vitisho vya pasiwedi?
 
Unakumbuka nlishakwambia wewe si ndugu yangu? Siwezi kushea na wewe kwa sababu wewe si ndugu yangu. Sasa mjukuu ni mali yangu peke yangu, huo ubabu unaotaka kujivika wakati wewe si ndugu yangu?

Huyu ni mjukuu wangu na ndugu zangu Teamo, Kaizer, The Finest na Acid. wewe na Kimey si ndugu zetu. Nyie ni mabepari na makabaila, ndugu zake Joji Bushi.
 
Hahahahaahah Babu bwana au mlimtisha maana nlishangaa mapemaaaa anaaga jamani mie naishi mbali halafu anaogopa kumtizama Mama Big uson ah.......(Leo ntafinywa na Bibi maana mh)

......roya Babu mpya ndo nani? Lol halafu mie sina Babu mmoja bana .....nyie wote si mababu au?......

Halafu upande aliokuwa amekaa babu walikuwa wanatizamana uso kwa uso sasa babu yako kila wakati alikuwa anaagalia chini ya meza, Mama Big akaniambia hivi sasa huyu babu ndio staili yake au ndio kumuonea haya mjukuu asije maana babu alikuwa muoga sijui alijua kuwa mjukuu ataenda kumwambia bibi
 
Unakumbuka nlishakwambia wewe si ndugu yangu? Siwezi kushea na wewe kwa sababu wewe si ndugu yangu. Sasa mjukuu ni mali yangu peke yangu, huo ubabu unaotaka kujivika wakati wewe si ndugu yangu?

Huyu ni mjukuu wangu na ndugu zangu Teamo, Kaizer, The Finest na Acid. wewe na Kimey si ndugu zetu. Nyie ni mabepari na makabaila, ndugu zake Joji Bushi.

HA HA HA HA HA HA HA HA Babu leo, hivi mjukuu juzi alienda kukusemea kwa bibi au aliamua kukufichia siri
 
Laiti ungeona alivokuwa ananikonyeza..... Niliogopa kunusishwa bana, umri ushaenda huu. Tatizo mjukuu ulikuwepo, na ulivokuwa kambea habari zingefika kwa bibiyo. Na adhabu za bibiyo si wazijua lakini?

Nimepata habari za chini chini kuwa bibi anamjua Mama Big
 
Halafu upande aliokuwa amekaa babu walikuwa wanatizamana uso kwa uso sasa babu yako kila wakati alikuwa anaagalia chini ya meza, Mama Big akaniambia hivi sasa huyu babu ndio staili yake au ndio kumuonea haya mjukuu asije maana babu alikuwa muoga sijui alijua kuwa mjukuu ataenda kumwambia bibi

Nimepigia mstari kuonyesha msisitizo. Kajukuu kangeenda kunisemelea, na bibi yenu namjua mimi na kajukuu. Afu si uliona Askofu alikuja na Misale ya Waumini? Kisa cha kufungishwa ndoa ya mkeka na mama Big?
 
Unakumbuka nlishakwambia wewe si ndugu yangu? Siwezi kushea na wewe kwa sababu wewe si ndugu yangu. Sasa mjukuu ni mali yangu peke yangu, huo ubabu unaotaka kujivika wakati wewe si ndugu yangu?

Huyu ni mjukuu wangu na ndugu zangu Teamo, Kaizer, The Finest na Acid. wewe na Kimey si ndugu zetu. Nyie ni mabepari na makabaila, ndugu zake Joji Bushi.

Ukiona mwenzie anakula, basi jua ni kizuri hicho....na definishen ya undugu naikokotoa toka enzi za adam na hawa....
 
Unakumbuka nlishakwambia wewe si ndugu yangu? Siwezi kushea na wewe kwa sababu wewe si ndugu yangu. Sasa mjukuu ni mali yangu peke yangu, huo ubabu unaotaka kujivika wakati wewe si ndugu yangu?

Huyu ni mjukuu wangu na ndugu zangu Teamo, Kaizer, The Finest na Acid. wewe na Kimey si ndugu zetu. Nyie ni mabepari na makabaila, ndugu zake Joji Bushi.

Ah....kumbe...issue hapa ni kushare............ orait orait sasa nimekupata.

Sasa Babu nshakukata kucha sana, nshakutengenezea ugoro kwa sana........naomba idhini yako nikamuatendi na Babu Teamo, Kaizer, The Finest au Babu Acid sasa. Si ni ndugu zako??

Na ninaomba muongozo hapa Babu Roya sio ndugu yetu?? .....kwa hiyo yeye nisimwiite Babu si ndio?.......au Babu jirani.
 
Back
Top Bottom