Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,227
- 113,584
Namtafuta huyu demu..sijui yuko wapi siku hizi? Anayejua anishtue basi
Yo Yo humjui huyu...yuko matawi ya juu
Yo Yo humjui huyu...yuko matawi ya juu
babu unabalaa, unataka machotara....
alaaaa...kumbe unamjua....nipe contacts au whereabouts basi
I believe the last time i saw her was more than 14 years ago...pole!
forget high class totozi kama ile size yako wakina kelly01 na kui.....gademu....14yrs? nitampata tu...
forget high class totozi kama ile size yako wakina kelly01 na kui.....
umenionea WoS siku ya leo?Wewe endelea na Jolly tu...
Mbona hiyo jina ni ya kiume na umesema ni demu?
NN, pale SRSS kulikuwa na chotara mmoja kwa jina la Pilla unamjua?
Yeah...namyaka. Vipi unamtafuta?
makusaro nani? ..................... alikua chotara wa kijerumani. nami nina hamu sana ya kumuona mara ya mwisho nilimuona forodhani secondary mwaka 1993. ukimpata nishtue na mie
Namtafuta huyu demu..sijui yuko wapi siku hizi? Anayejua anishtue basi
Yo Yo humjui huyu...yuko matawi ya juu