Namtafuta Kisura (JF member)

Ohh my God

I like the last part is so romantic, I guess you guys went for a quick one....as usual huwa ni tamu sana....hongereni nina uhakika hakutakuwa na heart breaking kwa mmoja wenu!

Heart beaking?!....what are you talking about shem!....heart breaking is not an optional
 
Unajua nini shem, hii imekwenda fasta fasta sana unamjua vizuri jamaa...usije kuta anawatoto lukuki kila mtaaa mhhhhh, sitaki uje unilalamikie penzi likichuja!
 
Unajua nini shem, hii imekwenda fasta fasta sana unamjua vizuri jamaa...usije kuta anawatoto lukuki kila mtaaa mhhhhh, sitaki uje unilalamikie penzi likichuja!

watoto siyo tatizo shemu..i love himf or who he is and not for what he has...and yes we know each other very wellli wouldn't accept the offer kama ingekuwa siyo valid you know what i mean!....

cheers mwanawane!...LOL!
 
I am happy for you guyz! kama nikishindwa kuja nitumieni picha walau.....ila usiziweke hapa JF kama mtani wangu nanihiii hahahaha ....penzi bichi tamu kweli hahahahah, jamaa mzuri kila idara? Nadhani umenielewa....! Lol
 
I got chu shem....hapa natakiwa kuandika report boss wangu anasubiria...and yaani i keep kudolearing my ring kila wakati ....woooow! he got some good taste you know...
 
Ok ilikuwa ni jumapili (easter Sunday) ….tulikwenda for brunch after church..then tukarudi nyumbani I think mancherster united walikuwa wana play with this another team ..as you know me I don’t like watching fotbal but I just watch it kwa ajili yake….ok so nilikuwa nimevaa boy shot and shati lake kwa juu nay eye alikuwa amevalia ile traki yake na singlendi (LOL!)…Huku anakunywa patron…and me nilikuwa nimemlalia kwenye mapaja yake…
Then after 30 minutes akaniambia babe…wake up !nikamwambia why si tunaangalia game akasema no I wante you to watch this video nimerecord…I was like ok!...omg! kumbe ile video ni yeye kajirecord bwana akasema Kelly01 nzafla semaganya you know I love you so much and I want to spend the rest of my life with you….”will you marry me”…yaani I cried I was like whaaat?....oh mg god ooh my god! Ooh my god…I was like yes! Yes! Yes!..i will marry you!(i was so emotional)....then we kissed!......(curtains closed)….

wooow and i am still emotional!...

Cheers!

...hizo bold ndo hasa zimenigusa. ina maana baada ya kupropose ulimpa zawadi ya tundi??? kaaaz kweli kweli na hiki kizazi kipya.

Si bure hapo simbaya pia ila hongera sana mwaya.
 
...hizo bold ndo hasa zimenigusa. ina maana baada ya kupropose ulimpa zawadi ya tundi??? kaaaz kweli kweli na hiki kizazi kipya.

Si bure hapo simbaya pia ila hongera sana mwaya.

jamani msanii!...kweli wewe ni msanii haswa nimeshakwambia curtains zikafungwa wewe unataka kujua what went on behind those curtains mweee!h

Ila asante sana mwayego...i hope everything will go as planned ...."not easily broken".....
 
hapo haujatuweka sawa kuwa statasi ya NN ni ipi katika pete uliyovishwa????

Au ndo atabakia kuwa mmegaji maarufu nau? tunajua unachopendea kwake (mangumi, mateke na mitusi) wanawake wa kikurya bwana kaaaz kweli kweli

Pole sana NN, lakini bado hujchelewa unaweza kabisa kumvua hiyo pete na ukamvalisha ya kwako bila matatizo yoyote :) Kazi kwako NN.
 
Wanakwambia shamba la kale rahisi kulilima tena.

Kelly hongera sana!! hiyo njemba ya kupropose kupitia kwenye video inaonekana ina aibu sana au haijiamini.

kwikwikwikwikwikwi.....Umenifurahisha mpaka nimecheka....wala hana aibu ila he came up with his different style you know!....You are so stupid!(In good way though)... hahahaha LOL
 
kwikwikwikwikwikwi.....Umenifurahisha mpaka nimecheka....wala hana aibu ila he came up with his different style you know!....You are so stupid!(In good way though)... hahahaha LOL

Inawezekana jamaa alikuhisi ni mgumu flani hivi wa kuelewa somo; so akaona ngoja apime wingi wa maji kwa fimbo ndio maana akatengeneza movi ili apate uhalisia wa hisia zako ktk hilo!!!

Kabla ya kufunga mapazia na kusherehekea uchumba mlishawahi kupima?? this 4 ur safety both of u.
Unajua wengine ni washauri nasaha wa kujitolea, so don't panick baby!!!
BTW; karibuni ktk chama cha waliohifadhika
 
Duuu unauliza blanket kaka mwa kumeisha kuchwa hahahah usiwape ugonjwa wa moyo! waliisha pima hata kama ni kwa macho hahahahhaha
 
Hahahahah!...so you think hiyo movie yake imemsaidia??...yeah of course i am such hard headed ila i have other romantic side (i could be emotional i am human beign right)....

Anyways hilo swala lako lingine of course we did even before we meet so we know our status...thansk for caring though...and thansk kw akunikaribisha katika kambi ya waliohifadhika....

xoxo
 
Duuu unauliza blanket kaka mwa kumeisha kuchwa hahahah usiwape ugonjwa wa moyo! waliisha pima hata kama ni kwa macho hahahahhaha

Najua sana kwamba hilo ni tatizo sugu kwa wanandoa watarajiwa wengi; wanajiamini pasi na kipimo kuwa tupo wasafi hivyo WANABANJUKA TU!!! baadae wakiambiwa wakapime ndio songombwingo linapoanzia!!! PATAMU HAPO, unaweza kuvunja uchumba ghafla:confused:
 
Back
Top Bottom