AljuniorTz
JF-Expert Member
- Jan 6, 2009
- 544
- 17
Hongera,ila usibweteke ukadhania ndiyo umeshaolewa,bado;tualikane kwenye shughuli ya handover ceremony kwasababu bila watu kushuhudia tutathibitishaje kama kweli imefungwa ndoa?
Watu kwa MINUSO!!! unaweza kuthibitishiwa bila ya kualikwa, teknolojia imekua sasa. Naskia watatuwekea video from A-Z!!!
Masanilo yeye anataka kufungua vyupa tu au sio shem wa kelly?