Namtafuta huyu mrembo wajameni

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
mrembo.jpg

Huyu mremo wajameni namtafuta kwa udi na uvumba.....
Atakayemuona ani-PM.
 
yupo mahali fulani humu humu jukwani,
kama unao ubavu tuma pm atakujibu.
 
mi nilimuona weekend hii kwa Mtambuzi Pub mitaa ya Tabata...
 
Duuuuh we kuna kitu una tafuta! Mi niko tayari kuhandle kesi yeyote itakayo jitokeza maana najua hili swala halitoisha hivihivi!
 
duh! mkuu leo umekuja huku? ni kwamara ya kwanza kukuona chitchat Kimbweka. nmezoea kukuona jukwaa la kikubwa. mia
 
Last edited by a moderator:
subiri @gfsonwin akushukie ndo utajua nini tofauti mpunga,mchele na wali,kudadadadek.
ni
Bishanga mwambie Kimbweka akwambe anataka nini nimekuja. kawali ya yote akwambie yeye huwa anatumia gia ngapi? na oil ya engine yake ni supu ya pweza ama ya ngisi? pia tela yake inavutwa kwa nini?
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nimalizie kumla mzigo zen ntaku pm boss wangu ondoa shaka hawa kama magazeti tu unasoma unaeka chini ya meza akijitokeza mpika maandazi anafungia
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom