Namtafuta huyu dada kwa nguvu zote

Mkuu inawezekana ulimwomba mungu akuoneshe mke kakuonesha, muombe tena akukutanishe nae,mtakutana. Muombe awaongoze katika mapenzi ya kweli (Japo sina hakika kama aliyaumba) na awajalie muwe na furaha tele na familia bora. Ila usiache kwenda kanisani.

Amen. Nimezaliwa na kukuzwa nyumba ya Kikristo na yenye maadili ya kidini sanaa na nimekwishazoea hayo maisha. Thanks much.
 
Ndio maana kwenye iman yetu tunaambiwa tusali mbalilimbali, mkuu siku hiyo hukumuomba Mungu kabisa. Ulitingwa na mawazo ya kishetani, POLE

Hapana bana. Tulikua tukishirikiana neno toka kwa mtumishi pale mbele...sharing different experiences...nikajikuta nimeguswa bana. Jamani popote alipo tukutane this Sunday plz. Daah
 
“By the sweat of your face you shall eat bread, till you return to the ground, for out of it you were taken; for you are dust, and to dust you shall return"
 
Habari,

Kuna dada mmoja mkarimu na anaonekana mtaratibu mno namtafuta mazingira haya kuruhusu kupata contacts zake.

Tulikutana leo kanisani jumatano ya majivu....usharika flan lutheran nlichelewa kdgo nikaja nikaketi bench moja na ww (la pili kutoka mwisho kama sikosei)

Nilivaa shati mikono mifupi (a mix of blue & white ) wit dark blue jeans wit sandals. Jamani huyu mdada ki ukweli uongo dhambi ameniteka nikatokea kupendezwa nae na kutamani kuwasiliana nae zaidi na kujenga urafiki.

Ulivaa some sort of a dark blue shirt/top na greenish sandals...u have a samsung galaxy na a red pouch kwenye bench ulijifunga mtandio (a green one)...tukiwa church nikakusisitiza sanaa uchukue karatasi yenye mafunzo ya utoaji zaka na dhabihu (sadaka) but ukasema sio tatzo if ningebaki na ile karatasi tulizopewa church.

Daah kama upo huku nitafute plz. Nakumbuka uliniaga getini ukiwa unaondoka...nilitingwa na watu nikajikuta nashindwa kuchukua mawasiliano yako. Daamn !!!

Masikini ya Mungu hata jina hukuniambia...

Naona ulisahau kutuambia ana drive.....Ungesema ana drive usafiri gani ingesaidia ku eliminate wengi maanake dark blue top/green sandals/samsung galaxy wadada wengi wanavyo.
Ok ni PM ilikua usharika gan na ulikua una drive usafiri gan hyo jana. Definitely ntajua ur real. Lol
 
mkuu vumilia mpaka jumapili sio mbali, ila kama ndo mgeni alitoka mkoani imekula kwako. laumu udomo zege wako
 
mkuu vumilia mpaka jumapili sio mbali, ila kama ndo mgeni alitoka mkoani imekula kwako. laumu udomo zege wako

Im used to ignorant and shallow minded people like u.

Unaanzaje omba mtu her dial wakat wa misa ?? Unafkiri inge create picha au hisia gan mule ndani kwenye nyumba ya ibada ?? Unaanzaje kuchezea chezea simu na ibada inaendelea ??

Wisen up, ni akili ndogo tu ya kufikiria.
 
Back
Top Bottom