Namtafuta huyu dada kwa nguvu zote

Dark blue top,green sandals na red pouch....asee wife to be nimependa uchaguzi wake wa rangi...

I kno unachotaka kueleza like hajui kuvaa...trust me sinaga desturi ya kutongoza ma scraper.

Tha lady is fine and knows how to play it simple...she looked very preety daaah alaf msomi yule.
 
mkuu mbona ulivaa kizembe sana church.

It wasn't an official sunday mass like any other mass....huwa kuna fellowship on wednesdays jioni and ikatokea waka add up na hii ash wednesday..

Nimetoka mzigoni nika dress up casual but wit standards (sijisifu ila it depends na quality & class ya outfit yako, sio kila mtu huvaa mtumba/ronya ronya bob)

Kama ulishawahi ishi mbele US or UK for sumtym utanote ni kawaida sanaa kupiga such dress codes on a normal church mass.
 
It wasn't an official sunday mass like any other mass....huwa kuna fellowship on wednesdays jioni and ikatokea waka add up na hii ash wednesday..

Nimetoka mzigoni nika dress up casual but wit standards (it depends na quality ya outfit yako, sio kila mtu huvaa mtumba bob)

Kama ulishawahi ishi mbele US or UK for sumtym utanote ni kawaida sanaa kupiga such dress codes on a normal church mass.
Self promotion -last two paragraphs
 
Habari,

Kuna dada mmoja mkarimu na anaonekana mtaratibu mno namtafuta mazingira haya kuruhusu kupata contacts zake.

Tulikutana leo kanisani jumatano ya majivu....usharika flan lutheran nlichelewa kdgo nikaja nikaketi bench moja na ww (la pili kutoka mwisho kama sikosei)

Nilivaa shati mikono mifupi (a mix of blue & white ) wit dark blue jeans wit sandals. Jamani huyu mdada ki ukweli uongo dhambi ameniteka nikatokea kupendezwa nae na kutamani kuwasiliana nae zaidi na kujenga urafiki.

Ulivaa some sort of a dark blue shirt/top na green sandals...u have a samsung galaxy na a red pouch kwenye bench ulijifunga mtandio (a green one)...tukiwa church nikakusisitiza sanaa uchukue karatasi yenye mafunzo ya utoaji zaka na dhabihu (sadaka) but ukasema sio tatzo if ningebaki na ile karatasi tulizopewa church.

Daah kama upo huku nitafute plz. Nakumbuka uliniaga getini ukiwa unaondoka...nilitingwa na watu nikajikuta nashindwa kuchukua mawasiliano yako. Daamn !!!

Masikini ya Mungu hata jina hukuniambia...
Unaambiwa ukimuona nyani mjini jua kaletwa. Kama una kifua (maana tunaambiwa mke wa ntu ni sumu) endelea kumtafuta
 
Self promotion -last two paragraphs

Sijisifu wala sijiskii namuelimisha aelewe. Wengine hatunaga mikato ya kuulambia kila sehem na mtu akikuambia kavaa hivyo haimaanishi kavaa some cheap rags.

Elewa lugha i just wanted to make friends wit the lady nuthn bad.....uhuni unaingia vipi ?? Utajuaje kama ndie yeye aliyekua nchi yangu (Kanaani) ya ahadi. Tehe
 
Yule mdada flan amazing hv ushamuoa au bado looking inaendelea tu
 
Acha ukware....na hii ni mbinu mojawapo kati ya nyingi zitumiwazo kuwateka wanawake...o...im really praying ni meet nae tena. I dnt kno there is something special about that woman.[/QUOTE]
Acha ukware....na hii ni mbinu mojawapo kati ya nyingi zitumiwazo kuwateka wanawake...!
Trust me kama kweli yupo hapa jamvin na kasoma huu uzi...basi unajipakulia kilain
 
Inaonesha kabisa leo hujasali kitu kabisa. Na lengo lako ilikuwa kutafuta hayo uliyoandika. Kama kweli wewe ni mpenzi wa Mungu basi endelea kusali mara kwa mara pengine naye atarudi na utamuona tena. Halafu sasa kweli ndio uje huku JF umtafute wakati umesema mmekutana Kanisani? Ni jambo la heri kuwa yaonesha ni mtu wa ibada.., hivyo endelea hivyo hivyo tu na utawaona wengi tu wapo. Lakini kuwa makini, wengine huja kwenye ibada au kuwa karibu na Mungu baada kushindwa na maisha ya zamani hasa umalaya mitaani. Ukienda mbio hivyo utalizwa..! Usione vyaelea ujue vimeumbwa mkuu.

Una busara sanaa. Thanks much for tha advice...i'll keep that in mind.
Watu wanani perceive vibaya....all i wanted was just friendship nd keep the flow going. If there was anything...i'd let it come naturally.
 
Weeeh, mwache mchumba wangu aisee,tutazinguana jomba....(joke)

Mkuu jumapili nenda church na ukae seat ileile huku ukiangaza macho alipo huyo mrembo.

Ulikosea palepale kwenye vibaasha vya sadaka ungemwambia aandike na no. yake.

Hahaha Lol
Thing is hakua na pete kidoleni and anaonekana ni mtu mwenye shule sanaa kichwani..si mtu mbabaishaji. Wadananda wanajulikana sanaaa its easy very easy to note one but she z way different.
 
I kno unachotaka kueleza like hajui kuvaa...trust me sinaga desturi ya kutongoza ma scraper.

Tha lady is fine and knows how to play it simple...she looked very preety daaah alaf msomi yule.
Kuvaa inawezekana anajua ila mpangilio wa rangi mie nimeupenda no offence..mtu akiweza kuchanganya rangi hivyo na bado akaweza kuvutia basi vizuri....all the best
 
Back
Top Bottom