Namtafuta DRPHONE

Echolima

JF-Expert Member
Oct 28, 2007
3,826
2,057
Wapendwa nimepoteza contact na jamaa yangu ambaye pia ni member humu JF anaitwa drphone kwa sasa mimi niko ughaibuni mwenye contact naye ani-PM
 
Mh msije mkammwagia tindikali bure kama mnafahamiana si uweke no yako ya simu na email yako au m PM utoe maelekezo,siku hizi hali ya hewa imechauka kaka,au umeshahau hata mwenyekiti wa CCM aliwahi kusema kuwa watu hawamiani hata maji hawaachi hutembea nayo ,sembuse iwe watu wa humu JF.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom