Namtafuta binti mwenye BIKRA kwa gharama yoyote ile!

"Usifanye jambo mbaya hata kama wengne wanafanya, pia usiache kufanya mazuri hata kama wengne hawafanyi" sasa wewe naona unaendeshwa na matukio ya ulimwengu huu; Ashakum simatusi- mwisho wa siku utatamani hata kufanyiwa kinyume na maumbile eti kwa7bu wengne wanafanyiwa, hvyo basi naona unahtaji msaada wa kisaikolojia na napenda kuchukua nafasi hii kuwaomba wana'JF wanakusaidie. By the way "Let us hear the conclusion of the whole matter: Fear God, and keep his commandments: for this [is] the whole [duty] of man." --Ecclesiastes(muhubiri) 12:13
 
Alaniwe yeyote aendae kinyume na maagano ya mwenyezi mungu!
Mbona baadhi ya makanisa hayo ni halali? Kuwa specific unataka ya kike au ya kiume? Kutokana na mafundisho yetu mapya yote inafaa.
Na bei zinatofautiana. Guess ipi itakuwa aghali kazi kwako.
 
Mbona baadhi ya makanisa hayo ni halali? Kuwa specific unataka ya kike au ya kiume? Kutokana na mafundisho yetu mapya yote inafaa.Na bei zinatofautiana. Guess ipi itakuwa aghali kazi kwako.
Ya kike ndio haswaa mkuu
 
Sijakuelewa mkuu,hukubaliani na mimi kwasababu zipi?
Samahani sikuweza kumalizia nilichokuwa nimedhamiria kuandika sababu ya umeme..any way hapa jf tena juu kabisa kuna thread imeandika MUHIMU: SOMA SAIDIA MTANZANIA MWENZETU..nakuomba mkuu ukasome then hapo ndio utanielewa kwanini sikubaliani na wewe au sio mkuu..la mhimu kujiuliza je ni bora kununua bikra au kumsaidia huyo Mtanzania mwenzetu mkuu?
 
Unanunua bikra ili iweje mkuu? si bora hata ungesema unatafuta mke wa kuoa mwenye bikra? japokuwa hii pia haina maana kama na wewe si bikra..kama kweli wewe ni bikra then itakuwa vizuri ukaoa mke aliye bikra pia..samahani sana mkuu kwa kutokukubaliana na wewe..
 
Back
Top Bottom