Namsifu mzee wa upako

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,848
2,670
Kupitia chanel 10 mzee wa upako kasema kikombe cha babu kama ni mipango ya Mungu basi na iwe hivyo. Anapingana na wale wanaompinga babu. Anasema Mungu ni mpana sana kuliko tunavyodhani. Anawaombea wote waendao kwa babu wapone. Ishu inakuja, nani mkweli ilhali Mungu tunayemuamini ni mmoja? Angalau huyu kaweza kujibainisha na wenye mahitaji ya kikombe cha Babu!
 
Soon tutasikia Lusekelo akipewa u agent kwa tawi jipya la babu Dsm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom