NAMSHAURI WAZIRI MKUU kutubu kwa UONGO BILA HOFU

Mtaka Haki

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
492
149
Baada ya kusoma majibu ya MH Lema. Ninamuomba Waziri mkuu ailinde heshima yake na heshima ya Bungre kwa kuomba msamaha juu ya kusema uongo.
Katika mambo yote 10 sioni ni namna gani hata mtoto wa darasa la tatu atashindwa kujua kuwa Waziri alipitiwa.

NAJUA KAMA MWANADAMU KILA MTU ANA MAPUNGUFU YAKE. Nakuomba uombe radhi na ruhusu uchaguzi kurudiwa.
 
mzee muongo sana, sijui inakuwaje kiongozi wa nchi anasimama bungeni nakuongea mambo asiyokuwa na uhakika nayo? sure, aombe msamaha, next tym asiropoke achunguze vitu!
 
Back
Top Bottom