Nampongeza Shekh Mohammed Issa

CHEMPO

JF-Expert Member
Nov 24, 2011
368
59
Huyu shekh napenda michango yake,amekuwa na uwezo wa kufikiri zaidi juu ya watanzania wote bila kujali dini zao.,maana mashekh wengine wanaona ukijadili uthaifu wa serekali.ni kwamba unamjadili kikwete,hivyo unaujadili uislam.
Shekh mohammed issa aliongea yafuatayo:
1.uwekezaji umemeza utanzania
2.viongozi dhaifu wasiokuwa na imani ya mungu
3.viongozi kujitengea budget kubwa kwa ajili ya kujitibia ukilinganisha na budget yaafya kwa watu zaidi ya mil40
4.aliwaita wawekezaji waporaji
mungu aikubariki sana shekh kwa kuwa na mitizamo tofaut
mada;utu wa mtanzania umeenda wapi?
Chanzo:channel ten
 
Shekhe Mohmmed Issa ni miongoni mwa mashekhe wakutegemewa sana katika Tanzania! Anajua kupanga hoja zenye mantiki na anafanya utafiti kabla ya kuzungumza.Allah amjaalie maisha marefu.Aamin!
 
Namfahamu ., ni miongoni mwa masheikh maarufu na kipaji tz na africa
 
Kama kaikemea serikali kwa upuuzi inaoufanya ni haki kumpogeza.

Sinaushahid na sikubahatika kumsikiliza. Lakin muungwana ni vitendo, naungana na mleta maada kumpongeza lakin aendelee kuwatetea watanzania wote bila kujali itikad zao kiiman
 
Back
Top Bottom