Nampenda sana Mwita25

Thread closed for the sake of safeguarding FF interests.
 
Opps kumbe huku ni chit chat...mwita25 and FF lao moja...No harm
 
"AshaDii Wishes Each and Every one at JF Happy Festive Greetings"
-Regards With Abundant Love-

Be specific whether you mean a Merry X-Mas and a Happy new Year?.................
 
Ndiyo manake! Kwani nani kasema mtu kujipenda mwenyewe ni dhambi? Ni upuuzi sana kuona mwanamke anaanzisha thread za kumpenda FF kila siku bila hata sababu za msingi na kutuacha wanaume watanashati kama mimi. Huyo FF mwenyewe nasikia ni bibi kizee wa kutupwa na hafai hata kuwekwa ndani. Upuuzi mtupu.


Tangu umalize degree yako ya fishing pale UDSM na kukosa kazi,na sasa kuajiriwa pale UDOM kama warden tena kwa mkono wa DVC PFA Prof Shabaan Mlacha, ndio umechanganyikiwa namna hii? pole mkuu,nadhani akina faizambwa na smile watakutafuta maana hao ndio makada wa magamba na akili zenu zinafanana sana....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom