Nampenda sana Mwita25

Hiyo pombe inanywewa kupitia chupa zinazoitwa keypads bila shaka. Wahudumu ni FF, Mamdenyi, Miss Malaika na Husninyo. Meneja wa baa ni Ritz akisaidiwa na kaka yake Rejao. Walinzi wa mali na usalama wa raia wanaokunywa ni Figganigga, Rev. Masanilo na Nyani Ngabu.
Duuuh!!!!
 
Ndiyo manake! Kwani nani kasema mtu kujipenda mwenyewe ni dhambi? Ni upuuzi sana kuona mwanamke anaanzisha thread za kumpenda FF kila siku bila hata sababu za msingi na kutuacha wanaume watanashati kama mimi. Huyo FF mwenyewe nasikia ni bibi kizee wa kutupwa na hafai hata kuwekwa ndani. Upuuzi mtupu.
mmh! kwa hili kaka naona kama haijakaa sawa kumuonea wivu huyo FF (cjui ni female fighter).na mbaya zaidi ni mwanamke.
 
Ni kweli raha jipe mwenyewe.
 
mmh! kwa hili kaka naona kama haijakaa sawa kumuonea wivu huyo FF (cjui ni female fighter).na mbaya zaidi ni mwanamke.

Huyu FF ndiyo kitu anachostahili hiki. Kila mtu hampendi humu ndani.
 
Bora wewe umejianzishia sredi wazihujaja na id magumashiI respect you for thatHaki yako, mbwa wako asipobweka bweka mwenyewe.
 
tehe tehe tehe. Wakikusikia wazee wa multiple ID watakunyonga
 
Mi sikupendi kabisa wewe ila huwa sitaki kukuambiaga tu.

Mie nakupenda sana tena sana, kama sijakuona humu huwa sina raha, walivyokulamba ban mimi nilikuwa wa kwanza kuandika ma email wakisamehe kwani kukukosa ilikuwa ni muhali. Wala sioni vibaya kama hunipendi kwani kuna wenzako wengi walikuwa hivyo wakabadili mawazo. Mie nakupenda sana.

Mwita, I love you baby.
 
Mama yako ni kijana? unampenda au humpemdi?

FF hii mineno sasa yatulazimu sie watu wazima timiiteni tiwaake kikao (kidogo nime nimetumia lafdhi ya Lushoto) so far FF kunani hapa wewe na 25 ? Mbona symptoms zinaonesha kama kuna kitu mnanyimana? Au mna hitilafiana katika maslahi kibiashara! .
Yote kwa yote nadhani ngoja nifanye arrangement nijue Mwita atakua wapi then kwa kua nataka kikao Jumapili basi wewe FF sio mbaya nitakupa direction kesho Jumamosi uje ulale kwangu ili on Sunday iwe simple kumuwahi Mwita si unajua ana shughuli nyingi tukichelewa hatumkuti.
Labda tu uniambie aina ya chakula gani unachopendelea kifanyiwe maandalizi, usijekuta usivyovipenda ukalala na njaa.
 
Mie nakupenda sana tena sana, kama sijakuona humu huwa sina raha, walivyokulamba ban mimi nilikuwa wa kwanza kuandika ma email wakisamehe kwani kukukosa ilikuwa ni muhali. Wala sioni vibaya kama hunipendi kwani kuna wenzako wengi walikuwa hivyo wakabadili mawazo. Mie nakupenda sana.

Mwita, I love you baby.

Acha mambo yako weye. Ati kila mtu hapa jamvini anajifanya oooh ulivyopigwa ban mimi nikakuombea uachiwe. Halafu wewe inaelekea ni pedophile wa kufa mtu. Haiwezekani uwe unanipenda kijana mdogo kama miee. Kwanini usifuate wazee wenzio kina Nyani
 
kwa maneno hayo lazima 25 atashusha bendera.
 
FF hii mineno sasa yatulazimu sie watu wazima timiiteni tiwaake kikao (kidogo nime nimetumia lafdhi ya Lushoto) so far FF kunani hapa wewe na 25 ? Mbona symptoms zinaonesha kama kuna kitu mnanyimana? Au mna hitilafiana katika maslahi kibiashara! .
Yote kwa yote nadhani ngoja nifanye arrangement nijue Mwita atakua wapi then kwa kua nataka kikao Jumapili basi wewe FF sio mbaya nitakupa direction kesho Jumamosi uje ulale kwangu ili on Sunday iwe simple kumuwahi Mwita si unajua ana shughuli nyingi tukichelewa hatumkuti.
Labda tu uniambie aina ya chakula gani unachopendelea kifanyiwe maandalizi, usijekuta usivyovipenda ukalala na njaa.

Nilikataa kupiga naye picha
 
Acha mambo yako weye. Ati kila mtu hapa jamvini anajifanya oooh ulivyopigwa ban mimi nikakuombea uachiwe. Halafu wewe inaelekea ni pedophile wa kufa mtu. Haiwezekani uwe unanipenda kijana mdogo kama miee. Kwanini usifuate wazee wenzio kina Nyani
hapo kwenye red ndio pamenishtua zaidi.duuu!!!.nilitaka kuwapatanisha lakin kama hali yenyewe ndio hii acha niende zangu.
 
FF hii mineno sasa yatulazimu sie watu wazima timiiteni tiwaake kikao (kidogo nime nimetumia lafdhi ya Lushoto) so far FF kunani hapa wewe na 25 ? Mbona symptoms zinaonesha kama kuna kitu mnanyimana? Au mna hitilafiana katika maslahi kibiashara! .
Yote kwa yote nadhani ngoja nifanye arrangement nijue Mwita atakua wapi then kwa kua nataka kikao Jumapili basi wewe FF sio mbaya nitakupa direction kesho Jumamosi uje ulale kwangu ili on Sunday iwe simple kumuwahi Mwita si unajua ana shughuli nyingi tukichelewa hatumkuti.
Labda tu uniambie aina ya chakula gani unachopendelea kifanyiwe maandalizi, usijekuta usivyovipenda ukalala na njaa.

Mie nilifikiri wewe na Mwita mnakaa nyumba moja.
 
Ndiyo manake! Kwani nani kasema mtu kujipenda mwenyewe ni dhambi? Ni upuuzi sana kuona mwanamke anaanzisha thread za kumpenda FF kila siku bila hata sababu za msingi na kutuacha wanaume watanashati kama mimi. Huyo FF mwenyewe nasikia ni bibi kizee wa kutupwa na hafai hata kuwekwa ndani. Upuuzi mtupu.[/QUOTE
kweli sifa jipe mwenyewe...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom