Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 31,956
- 95,342
Wow, sifa na utukufu ni vya Mungu. Sema hapo mwanzo sijakuelewa kidogo, kwa nini unanitaka radhi? Ulinichukuliaje/umenichukuliaje?Kweli nimeamini hata chui akiamua kumuacha swala akaenda sitoshangaa
Dada yangu nikutake radhi kwa jinsi nilivokuchukulia, niwe mkweli na muwazi kabisaaaaaaa nikutake radhi
Kwa hili uliloliongea liko juu ya uwezo wa uelewa wa mtu asiye makini na mwenye upeo mdogo wa kutumia jicho lake la tatu,
Hakika wewe utapita na pengine utakufa, lakini maneno haya yataishi milele mwa kichwa cha mwelewa pia yaweza kua dira ya mtu mwenye nia njema na anayeitakia afya njema ndoa yake,,,,,,,,
Sitopunguza chochote wala kuongeza chochote katika nasaha hii, hapa nilazima niwe magufuli kwa kuimeza nzimanzima
Naamini umetumwa na Mungu kutufunulia sisi.
Hata maandiko matakatifu yanasema hivihivi
Mungu akubariki na uishi katika misingi ya kauli hii hakika utakua mama bora
"Hata chui akiamua kumuacha swala, akaenda" mmmh