Nampenda sana huyu binti kwa kweli

JoJiPoJi

JF-Expert Member
Aug 8, 2009
2,907
3,261
Jokate.jpg
Wadau salam,
Kusema kweli bila kuuma maneno nimetokea kumpenda sana huyu binti ila sijui hata namna ya kukutana nae ili nimwambie kilichopo moyoni mwangu, kama atakuwepo mtu hapa JF akafanikisha hili nitafurahi sana.
 
omba namba kwa hashiimu...

swaga za kizungu unazo baba?
usije ukaboleka bure we wwataka swaga za kibena yeye analeta za broklyn...

i knw her.

kwa fashen show poa bt for woman to mary hapana NOOO!!!!!!!!!!!
 
duh! umeua vibaya.
 
Kumbuka ushauri wa babu wanawake wazuri wa (sura + maumbile) hawaolewi. ukivunja mwiko huu utaishia kwenye divorce au kufa kwa presha!
 
Kaka mimi mwenyewe nampenda sana huyu dada (jokate mwegelo) binti ananivutia sana ila sina jinsi laiti ningekuwa na pesa?

View attachment 32130
Wadau salam,
Kusema kweli bila kuuma maneno nimetokea kumpenda sana huyu binti ila sijui hata namna ya kukutana nae ili nimwambie kilichopo moyoni mwangu, kama atakuwepo mtu hapa JF akafanikisha hili nitafurahi sana.
 
Mawazo yangu..
  • Ni mtu akipewa kazi yuko reliable.. and committed
  • Tokana na position yake scandal zake very minimal
  • Ana swagger za kizungu saana tu but dharau sio kivele
  • She is strong, alipata scandal ya ngono (ze utamu) but haikumteteresha physically
  • Hana mashauzi (wakati yupo UDSM) alikua anaishi maisha ya kawaida,
clothing decent and too ordinary nafikiri alikua anapunguza attention juu yake

INAWEZEKANA niko biased, for I do adore her... Hongera zake dogo
 
..mara nyingi anaonekana na yule Pro wetu wa kikapu HASHEEEM, sasa mkubwa angalia usije twangwa risasi na jamaa
 
Kweli mkubwa sasa nitafanyaje yaani kama nimelogwa vile....

kweli umelogwa...km vile mtu anarogwa awe mchafu,chapombe,mwehu basio na wewe kumpenda uyu kweli umerogwaaaaaaaaaaaaaaa....

mi nampenda mzuri sana kwa nje...lakin si kwa matumizi ya nyumban.
 
kweli umelogwa...km vile mtu anarogwa awe mchafu,chapombe,mwehu basio na wewe kumpenda uyu kweli umerogwaaaaaaaaaaaaaaa....

mi nampenda mzuri sana kwa nje...lakin si kwa matumizi ya nyumban.

habari lako la asubuhi bana............................
 
Wana jamvi huyu kijana mpeni msaada wa kumpata huyu binti hata kama yuko broklylin, maana hakuna kinachoshindikana chini ya jua kwa dada zetu.
 
Back
Top Bottom