Inkoskaz
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 6,372
- 2,374
Aisey! Unampendaje mwanamke mwenzio? Wakati hata Mr. David hajafanikiwa kutusimikia ile sheria? We labda useme unam'mind au unamfagilia like!
wanatupotezea sana muda hawa watu usje kuta malengo yao yanatimia...kututoa kwenye umakini wa hoja za maana na kuwajadili wao