Nampenda Sana f.f...

If u decide to be a stalker, at least try to be an interesting one. Otherwise, is it legal to stalk someone? Eish!
 
Hata mi nampenda sana huyu mama siku hizi, yaani sijui kwa nini, tofauti yetu tu ni kua yeye ni Gamba pure wakati mimi ni Gwanda!!!.
Nimemtumia ujumbe kwenye thread flani hivi kua akikubali kuachana na Magamba natuma posa kwao!!
 
Hata mi nampenda sana huyu mama siku hizi, yaani sijui kwa nini, tofauti yetu tu ni kua yeye ni Gamba pure wakati mimi ni Gwanda!!!. Nimemtumia ujumbe kwenye thread flani hivi kua akikubali kuachana na Magamba natuma posa kwao!!
UNATOA POSA KWA BI KIZEE? ana ndoa ya miaka 30 huyo lbd unambie unataka ujibakishe! huyu bi hana lolote kwanza anamadharau na majigambo sn na kuwaona wenzie hawajui na wala hawana mana,anzia sura hd tabia mi namfananishaga na bi mkubwa wa mjengoni. KWAHERINI TUTAONANA MWAKANI MUNGU AKIPENDA najua nakula ban
 
Japokuwa ni st kayumba tuko pamoja
Moshi uko juu juu sana
afu jana ulitotoka na kijiti changu
naona hawa wananzingua tu mwana

If u decide to be a stalker, at least try to be an interesting one. Otherwise, is it legal to stalk someone? Eish!
 
Jaman wana jamvi,Mi nampenda Sana F.Fox yan nikiona koment zake natamani awe anatuma yeye tu...Fox Pamoja.

Aisey! Unampendaje mwanamke mwenzio? Wakati hata Mr. David hajafanikiwa kutusimikia ile sheria? We labda useme unam'mind au unamfagilia like!
 
Umeanza mibhange na ww! Mi sijaondoka na kijiti chako banaa, ntakufungulia mashtaka unanisingizia!
Japokuwa ni st kayumba tuko pamoja
Moshi uko juu juu sana
afu jana ulitotoka na kijiti changu
naona hawa wananzingua tu mwana
 
FF can go to hell in the first place. Badili ID ad infinitum you will still remain a gawk so to speak. Mpende Mungu wako na wazazi wako kabla ya huyo he-she person asiyejiamini na mdini wa kunuka.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom