Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 41,983
- 12,701
Hata mimi nahisi hivyo.Sidhani kama mleta thread yuko serious sana..
Kuanza kuwa na wasiwasi na dada yake inaonyesha anataka ku'hit' and 'run'
Hata mimi nahisi hivyo.Sidhani kama mleta thread yuko serious sana..
Kuanza kuwa na wasiwasi na dada yake inaonyesha anataka ku'hit' and 'run'
Kumtokea rafiki wa kike wa dada yako ni mbaya?.Coz nimetokea kmpenda rafiki wa dada yangu but naona noma kemtemea madini nahic sister anaweza nifikiria vibay,Nifanyeje wa kubwa.
kesho rafiki wa mama kesho kutwa rafiki wa bibi
nidham mbele mkuu.