Nampenda mwanaume mkorofi kiana....ni kweli?

mwanaume yeyote tutayeendena nae tabia, asiwe mkali sana wala mpole sana, aniheshimu, anijal, anipende mimi kama nilivyo,awe rijali na aniridhishe kunako sita kwa sita
 
Mwanaume mpole sana hafai. Mwanaum kila kitu sawa mama mh! No!
I like mwanaume awe korofi kidogo.
 
Tunaposema mpole na mkorofi tunakusudia nani?
Yule anayekubali au kukataa kwa sababu VS yule anayebisha kila kitu (hambiliki)?
Yule anaye "reason" kabla ya kuamua au kufungua mdomo wake VS yule anayependa kusikia sauti yake kabla ya kusikiliza ya mwenzake?
Yule aliye na huruma, anayekuheshimu na kuheshimu mahusiano yenu, anayejali, anayekiri akikosea, anayejua kusema Asante, Samahani, Tafadhali VS yule asiyejali, asiyekuheshimu, anayejua kila kitu, majivuno na daima yuko "right"?
Yule anayependa kila kitu kizungumzwe na kufikia suluhisho VS yule ambaye neno lake ni sheria na maamuzi yake hayapingwi?

Bila ya shaka, yule awaye mpole kupindukia huyu huwa si upole bali zoba
Na yule awaye mkorofi kupita kiasi, huo si ukorofi bali ujinga (kwa maana pana ya neno lenyewe)
 
Kuna siku tuliliongelea hili sana...asilimia kubwa ya wadada walisema wanependa wanaume ambao sio wapole kupitiliza....

Sitegemei mwanaume awe mpolee muda wote mahali popote na kwa jambo lolote..Hell No!!! Sorry
 
mwanaume yeyote tutayeendena nae tabia, asiwe mkali sana wala mpole sana, aniheshimu, anijal, anipende mimi kama nilivyo,awe rijali na aniridhishe kunako sita kwa sita
....Mpigieni makofiiiiiiiii, kwa kwa kwa ! hongera kwa kwa kwa blackberry.....
 
Back
Top Bottom