Nampenda msichana mmoja lakini yuko katika relationship na mwanaume mwingine...sasa ni fanyeje?

So where you gonna take her out for your first date? Kite-flying? To a finger foods so you can finger feed her? Oh you said hajakupenda b'se of food. So you gonna take her to an extreme sport or laser gaming?
Brother; That is not your business, lakini weka akilini simlishi kabla ya kumla.
 
Brother; That is not your business, lakini weka akilini simlishi kabla ya kumla.

Kaka vipi tena? Si umeomba mawazo juu ya "kumtaifisha" hutu mwanadada? Sasa wengine tunaangalia beyond and possible implications. Kwa vile unadai hupendi kumpeleka mwanamke out for a dinner, ndio nauliza utampeleka wapi kama akitaka mtoko?

Ukitaka kula lazima uliwe.
 
fazaa, nakushauri ujilipue

ila akili za wanawake wanazijua wao
anaweza ukamvutia kwa vitu fulani fulani. Ila mzigo hakupi ng'o.
 
Kaka vipi tena? Si umeomba mawazo juu ya "kumtaifisha" hutu mwanadada? Sasa wengine tunaangalia beyond and possible implications. Kwa vile unadai hupendi kumpeleka mwanamke out for a dinner, ndio nauliza utampeleka wapi kama akitaka mtoko?

Ukitaka kula lazima uliwe.
Nikiona mwanamke analilia kula out kabla sijamuoa, basi namsamehe sina pesa za kuchezea hovyo :biggrin:
 
Nimeoa, kuhsu point yako...kwani wasichana ambao hawajaolewa hawapendi wanaume walie owa.


wanapenda pesa yao na si ati akupende weye.... unaweza kumpata kwa sababu moja na akawa analiwa na mtu anayempenda vilevile
 
Ok JF, there is these babe I just got connected to, we've been getting along so well na wala sijafikiria kama yuko katika relationship na mwanaume mwingine until I decided to ask her.

BTW, I really like her personality, and I think she likes me too..siku zote tunawasiliana kwa njia ya simu, fb msgs etc.

Yani utani pembeni kakamilika kama wanawake ambao nao taka kuoa au nilie owa, ukitazama pande zote she is a good girl just that this guy met her before me sababu wanasoma university, katika same collage of medicine...Nataka kujaribu kumsahau kabisa katika moyo wangu, lakini kuna kitu najiuliza kuhusu huyo msichana....what if her present guy is not the right guy for her, and shes just tied down by the relationship?

I want to do the right thing but in this case I really don't know what is right, je ni wachane naye?

If I do, am I going to be a looser sababu she just happen to be wale amabao wana exist in my specification...Hajaposwa na mwanaume ambaye yuko naye sasa na wako pamoja kama miezi minane kama sijakosea kutokana na kauli yake yule msichana.

Hebu nipeni mawazo yenu nimtaifishe jamaa au niwache kwanza nione mwisho wao, naogopa huyo akakosa na mimi nikakosa, akaja mwingine ana maspeed kuliko yetu akamchukua jumla jumla.

Fazaaa Acha uoga...... mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake, kama kamba inaweza kuyafikia hayo majani jaza tumbo mkuu.... tuma application mwongezee huyo binti options za chaguzi zake.... ila kumbuka kuna ukimwi...!
 
wanapenda pesa yao na si ati akupende weye.... unaweza kumpata kwa sababu moja na akawa analiwa na mtu anayempenda vilevile
Mwanaume anapo penda asifikirie anaye mpenda ataliwa na wengine, kama atabaki na hayo mawazo ataishia kuishi peke yake na shaka zake, dunia hii lazima uwe una muamini unaye mpenda.
 
Fazaaa Acha uoga...... mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake, kama kamba inaweza kuyafikia hayo majani jaza tumbo mkuu.... tuma application mwongezee huyo binti options za chaguzi zake.... ila kumbuka kuna ukimwi...!
Si unaona wanavyo nitisha wengine wameisha weka menu hapo :poa
 
Kama unataka Legs over tu basi mwaga jarife la kama unataka hayo mambo mnayoita kufungana pingu za maisha ,ujuwe fika patakuwapo na msururo wa wanaume wanao kitaka hicho kitamtam cha mwili au wanasubiri zamu zao zifike kama ulivyo fanya wewe.
 
Fazaa amesema "be a really man" and I do believe you are. Really men do not interfere others affairs or relationships,I am sure ya don't. Loving her means you would not see her unhappy and that's wise.May be the man she is with right now has not proposed yet to her, but they do love each other a lot and that's why they are to-get-her right to this minute. Do not make her unhappy by destroying the happiness she has rigt now. What you should do is wishing her more happiness in her relationship with that guy.
You said that "she has all the quality a woman should have" to deserve to be one's wife, I do not think she is the only one out there.Find some other one with the same qualities and add her into your heart and replace this one.
Thanx for your sincerity saying that you are a married man, that makes me think you do really love her.
 
Fanya hvyo hvyo yan kanma nlvyo kushaur hvyo hvyo usiache k2 hvyo hvyo yan.P*******u kaz kuinglia mapenz ya Wa2.Ngoja nawe wa taman m***o yaKo.file ready to use by user.
 
we unataka kufanya hacking kwenye penzi la mwenzio'
jaribu unaweza kushinda
 
wewe una akili kweli? wewe unasema ana mtu tayar sasa wewe unachotaka ni kipi? umuharibie mwenzako? au ndo manager wa michepuko? na nyie ndo mnaowakuta wanawake wenye stability 'F' mkamaliza kabisa ndoa zao.acha ujinga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom