Nampenda Martha Mwaipaja

yutong

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
1,601
338
Jamani mimi nimetokea sana kumpenda dada huyu mwimbaji wa music wa injili, kwa jina ni Martha Mwaipaja. Sijui nifanyaje nijitwishe mzigo huo du naumia sana kwa kweli kila nikimuangalia simmalizi. Jamani kwa kweli Mungu ameumba.
 
pole sana mkuu kwa kumpenda mke wa m2.
 
Hebu weka picha yake ili tujue pa kuanzia kukushauri...
 
Jamani mimi nimetokea sana kumpenda dada huyu mwimbaji wa music wa injili, kwa jina ni Martha Mwaipaja. Sijui nifanyaje nijitwishe mzigo huo du naumia sana kwa kweli kila nikimuangalia simmalizi. Jamani kwa kweli Mungu ameumba.
Yutong from Beijing, usitake tuzirushe ngumi.Mimi nimemwandikia barua jana, nikimwelezea kuwa mimi ni mzima wa afya njema, hofu na mashaka ni kwake yeye aliye mbali na upeo wa macho yangu.Disco la barua hii ni kutaka kukujulisha kuwa moyo wangu umekuzimikia kama mshumaa katikati ya jangwa.Sasa cha kustaajabisha naona na wewe umeanza kummezea mate, patachimbika.
 
Tehe!cks=cheka kwa sauti!!
 
Jamani dada martha mi kwa kweli nampenda sana, yahani maungo yake na kifua chake vinaniacha hoi. natangaza kwamba atakayefanikiwa mi nimpate ntampa CAMERA Digital moja nzurii aina ya Canon.
 
Kweli Yotong upo serious mpaka maahadi umeanza kumwaga!
 
huyo martha kiukweli ni mzuri sana hata kwa asiyetaka kusema atajivunga tuu kujifanya haoni lakini ukweli unabaki kuwa ule ule demu ni mkali noma plus sauti ndo kabisa anafunika mbaya. yutong kazana baba jikaze upate kumuoa. mtokee church
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom