Nampenda lakini simuelewi. Ushauri pls

Kuna uwezekano anakupenda ..ila sio kwa mapenzi tunayojua ..ila kwa sababu wewe ndio utakuwa Mwokozi wake ki-uchumi.. yaani anatafuta sehemu ya kuegemea.. Mapenzi kama hayo hayadumu..

Ushauri wangu.. Haraka sana mpe majaribu ya kumwonyesha scenario mbovu za relation yenu na umwangalie reaction yake.. Scenario mbovu siyo kumwambia kuanzia leo basi... ila kama una kazi mwambie unaacha, kama ulikuwa unamnunulia Vocha na misaada midogo midogo sitisha au punguza.. Just to depict kuwa huna msimamo wa maisha na unataka mawazo yake ufanye nini...au unamtegemea yeye...

Kama anakupenda hatokuacha.. kama ni msanii.. hapo ni bye bye nawe utakuwa safe...
 
mapenzi yana vituko sana , yawezekana aataka kubadili maamuz au anajaribu kuangalia kama una mpenzi mwingine lakini vipimo vingine hugharimu sana
 
Kuna njemba inamtaka na si ajabu ameishaikubalia wawe wapenzi. Sasa anatafuta upenyo wa kutokea.

Kwa anavyonisumbua ni bora aendelee zake na huyo aliyempata kuliko kucheza na akili yangu. Ni kweli nampenda kwa dhati lakini am real tired ingawa najua itaniuma kumuacha
 
mapenzi yana vituko sana , yawezekana aataka kubadili maamuz au anajaribu kuangalia kama una mpenzi mwingine lakini vipimo vingine hugharimu sana

Bora kama anataka kubadili maamuzi na afanye hivyo kuliko kunipotezea muda kwa sasa pamoja na kwamba nampenza
 
Kuna uwezekano anakupenda ..ila sio kwa mapenzi tunayojua ..ila kwa sababu wewe ndio utakuwa Mwokozi wake ki-uchumi.. yaani anatafuta sehemu ya kuegemea.. Mapenzi kama hayo hayadumu..

Ushauri wangu.. Haraka sana mpe majaribu ya kumwonyesha scenario mbovu za relation yenu na umwangalie reaction yake.. Scenario mbovu siyo kumwambia kuanzia leo basi... ila kama una kazi mwambie unaacha, kama ulikuwa unamnunulia Vocha na misaada midogo midogo sitisha au punguza.. Just to depict kuwa huna msimamo wa maisha na unataka mawazo yake ufanye nini...au unamtegemea yeye...

Kama anakupenda hatokuacha.. kama ni msanii.. hapo ni bye bye nawe utakuwa safe...

Tulizo ukweli huyu dada anafanya kazi yake nzuri sana tu na ana pesa unless awe na tamaa tu ya pesa na wala hanitegemei saaaana mie hilo nakiri. Mwanzoni mwa mapenzi yetu alionyesha kuwa na mapenzi na mie kabla hata mie sijamfahamu na yeye kumbe alikuwa akinifahamu vizuri tu na ndipo baadae tukaingia katika mapenzi na tukaendana vema. Ila ni siku za karibuni ndipo maswali yake kuhusu kama kweli nampenda yamekuwa mengi na mara anadai kuwa kuna bibi zangu wanamsumbua na mara anadai kuwa kuna MTU ambaye hamtaji eti anamsumbua. hapo ndipo ninaposhindwa kumuelewa sababu za kutokuniambia uwazi huyo anayemsumbua na pia kuamua kuzima simu siku mbili tatu bila kusema. Ninampenda sana lakini nafikia mahali nachoshwa na hali hii
 
OK... Soma majaribu ambayo nilikushauri umpe, inawezekana yeye ndio amekuwahi...Lakini in worst scenario, hesabu hakupendi na ujitayalishe kupokea hilo kuliko kulazimisha...
 
Kuna uwezekano anakupenda ..ila sio kwa mapenzi tunayojua ..ila kwa sababu wewe ndio utakuwa Mwokozi wake ki-uchumi.. yaani anatafuta sehemu ya kuegemea.. Mapenzi kama hayo hayadumu..

Ushauri wangu.. Haraka sana mpe majaribu ya kumwonyesha scenario mbovu za relation yenu na umwangalie reaction yake.. Scenario mbovu siyo kumwambia kuanzia leo basi... ila kama una kazi mwambie unaacha, kama ulikuwa unamnunulia Vocha na misaada midogo midogo sitisha au punguza.. Just to depict kuwa huna msimamo wa maisha na unataka mawazo yake ufanye nini...au unamtegemea yeye...

Kama anakupenda hatokuacha.. kama ni msanii.. hapo ni bye bye nawe utakuwa safe...
Wala jamaa hana sababu ya Kuzunguka Mbuyu kama CCM wanavyojizungusha kusema Mkwe.r ndo tatizo, ampe nafasi huyo Dada, na Jamaa a carry on na life yake,kama kweli huyo Dada anampenda atarud tu, Kuku wako ya nini umuwinde na Manati....
 
Another thing,importantly, start date another gilrs and make sure that she knows about it, it works, am telling you, wanawake wameumbiwa wivu,mwanamke kama ana amini akilini mwake kuwa wewe huwez kupata mwanamke mwingine kwa wakat unaoutaka huwaga wanakuwa na jeuri sana, show her that you can get another girl,whenver you want....na log off....
 
Huyo dada may be anataka uhakika wa mapenzi kuona labda unaanza process za ndoa na uhakika wa kufunga ndoa
 
Kuna njemba inamtaka na si ajabu ameishaikubalia wawe wapenzi. Sasa anatafuta upenyo wa kutokea.

Kweli kabisa! Kuna njema inataka chance na hapo bibie anapima uzito upi unampasa yeye kati ya hao vijeba wawili ndo maana haishi kuuliza maswali kama hayo!
 
nahisi kama naye anatafakari afanye maamuzi gani. Atakuwa yuko njia panda, anawaza.
We kuwa mvumilivu usubirie, ATAKUTAFUTA KAMA ANAKUPENDA.
 
Hili nami nalihisi kuwa ndilo lililopo, na tatizo la huu umbali ndio kabisaaaa
 
nahisi kama naye anatafakari afanye maamuzi gani. Atakuwa yuko njia panda, anawaza.
We kuwa mvumilivu usubirie, ATAKUTAFUTA KAMA ANAKUPENDA.

Acha nimpe uhuru wa kufanya maamuzi yeye mwenyewe na mie nikae kando naamini wanawake wengi, kama amepata mtu mwingine huko basi waendelee salama nami niendelee na hamsini zangu hata kama nampenda
 
Back
Top Bottom