Nampenda ila kuwa na mahusiano nae naogopa.

huyo manzi unampenda sana, i see yo defence mechanism kwa baadhi ya ushauri from amongst walokushauri, sasa cha kufanya ni hiki, do what yo heart demands.
 
tell her usijikanyagekanyage akichukuliwa itakula kwako UOGA WAKO NDIO UMASKINI WAKO
 
weeeeeeeeeeee! somaaaaaaaaaaaaaa! sijui unanielewa, somaaaaaaaaa! utakuja kudisco ukijaribu kufanya hilo, kama siyo kuchanganyikiwa kabisa...........experience tunazo.
 
watoto wa aina hiyo pasua kichwa saana aisee jiulize kama aliachana na alieachana nae haitakuwa da same kwako??fanya masomo ila msome zaidi kama anafaa usikurupuke
 
Back
Top Bottom