Nampenda ila kuwa na mahusiano nae naogopa.

Huyo dada atakusumbua sana kutokana na tabia ulizoorodheresha hapo juu, jaribu kuzingatia masomo au mtafute mwingine ambaye ni mtulivu ndio umsome tabia n.k n.k. Huyo hakufai anaonekana ni pasua kichwa!!!
 
Unataka tukuambie Upo sahihi kwa lipi? Kuwa muoga wa kuanzisha nae mahusiano au?
 
Mtoe akilini mwako endelea kuwa nae kwa kumshauri baadh ya vi2 anavyohitaj msaad take her as a normal friend utalizwa sana mtoto wa weng huyo.
 
Banaee, kwanini uidhulumu nafsi yako?? tulia jiweke sawa then mueleze shida yako....na wala usiwe na papara hata akianza kigugumizi mpe nafasi na u-relax kwa utulivu mkubwa! naamini kama ukimpata unauwezo wa kumbadilisha na mkaishi nae vizuri kama na yeye atakupenda,
 
Unataka tukuambie Upo sahihi kwa lipi? Kuwa muoga wa kuanzisha nae mahusiano au?

Mantiki kuu ipo hapo, uoga wa kuanzisha mahusiano. Please, don't think I don't know how this sound. Like am a coward, lakini kama umesoma vizur hii thread utanielewa.

Mimi namfahamu huyu binti, nimekaa nae kwa kipindi kirefu hapa chuoni. Pia amenionyesha signs mbalimbali kama niki-apply tu, basi haina haja ya interview kazi nimepata.

Lakini mtoto mwenyewe anasumbuliwa mpaka kero, kila mara simu na excuses za mara kwa mara za kwenda kuonana na watu wengine.

kwahiyo ishu iko hivo, nategemea umenielewa na utanishauri kama ipasavyo.
 
Mtoe akilini mwako endelea kuwa nae kwa kumshauri baadh ya vi2 anavyohitaj msaad take her as a normal friend utalizwa sana mtoto wa weng huyo.

asante sana kwa ushauri wako, ila since wewe ni mwanamke, unaweza ukanisaidia kitu kimoja.

je, inawezekana kwa msichana wa namna hii ambae ni mdogo kubadili tabia yake hii? ana umri wa miaka 19 kwa sasa.
 
Banaee, kwanini uidhulumu nafsi yako?? tulia jiweke sawa then mueleze shida yako....na wala usiwe na papara hata akianza kigugumizi mpe nafasi na u-relax kwa utulivu mkubwa! naamini kama ukimpata unauwezo wa kumbadilisha na mkaishi nae vizuri kama na yeye atakupenda,

mkuu umenitia matumaini mapya ambayo kiukweli nilishapoteza kabisa matumaini. Nashukuru kwa ushaur wako mkuu.
 
Nilikua na maanisha bora huconcetrate kwenye masomo yako kuliko huyo binti, kwa maelezo yako hayo huyo binti atakuzingua na kukupotezea muda bora utafute mwingine!
Mtani wangu ulilosema ni jambo la msingi, lakini tukumbuke maisha sio shule pekee, hapa namaanisha kwamba kama nitazingatia shule, nikimaliza shule na nikipata kazi, utaniambia nizingatie kazi, lini nitazingatia moyo wangu na kutendea mwili wangu haki yake ya msingi?

Mimi kwa umri wangu ninaweza kabisa ku-balance mambo yangu, lakini naogopa kutoa moyo wangu kwa mtu ambae sio sahihi.

"don't give your heart to just anyone".[/QUOTE
 
mkuu umenitia matumaini mapya ambayo kiukweli nilishapoteza kabisa matumaini. Nashukuru kwa ushaur wako mkuu.

ckiliza kijana kiukwel huyo dada hakufai hata kidogo atakuumiza najua unaweza ukajipa ma2main ya kumpata.Kumpata c tatizo,tatizo ni kwamba haja2lia na hatotulia kwan anatumia uzur wake kama chambo cha kuwapata wanaume.Utaumia sana kaka.Kama vp muweke chin Xboyfriend wake ujue kwann waliachana atakupa feedback.
Remember:NINGEJUA HUJA MWISHO WA SAFARI.
 
Remember:NINGEJUA HUJA MWISHO WA SAFARI.Ucjipe moyo wakat unaona hal c shwar kwann ujisalimishe kwa adui wakati unajua atakuua
 
Rnt u handsome enough kuwa naye??! Kama unajidoubt mwenyewe basi acha kabisa kuwa rafiki tu!
 
Mkuu labda mngesoma thread kwa umakini kidogo, kwa hali hii michango mingi kwa namna ya ushaur nitaikosa, maana naona naambulia lawama kama vile nimefanya makosa.

Ndio ni mwanafunzi na ninasoma, lakini nipo chuo kikuu. Mahala ambapo mahusiano ni mahala pazuri kuanzishwa na kama tukifanikiwa hapa chuo ni rahisi sana kwa watu kuoana.

Naombeni ushauri utokane na thread na sio hisia binafsi jamani, nina heshimu sana michango yenu.
mkuu hapo kwenye bold,hata chuo kuna kudisco kuwa makini hasa kama mtu mwenyewe unaona atakuwa anakupa presha hivyo,chuo chenyewe bila shaka ni muccobs,nimenote kitu kwenye maelezo yako so kuwa makini watakula kichwa hiko
 
Mkuu muccobs sio "chuo kikuu" , infact that is not even the issue here, tujadili hoja ya msingi mkuu, kama utahitaji mabishano ya kutaka kujua vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu, ungeenda jukwaa la elimu, kwani ndio mahala pake huko.

Anyway, nashukuru kwa mchango wako.
 
Rnt u handsome enough kuwa naye??! Kama unajidoubt mwenyewe basi acha kabisa kuwa rafiki tu!

Hey I don't think it has anything to do with being handsome,ugly or average looking, No. Maana alishanieleza ya kwamba, huwa afanyi hitimisho lake la kumchagua boyfriend wake kwa muonekano pekee.

Wala huwa hapendelei kumchagua boyfriend kwa kutilia mkazo material things kama pesa, magari na vizawadi zawadi.

Bali yeye anatafuta mtu ambae ANAJALI na ANAEMPA FURAHA AKIWA NAE, haya ndiyo anayoyataka.
 
kama humwamini,achana nae, kama una wasi wasi mpe time hadi upate uhakika, kama hujielewi achia natural selection...
kaka hawa watoto wa aina hii wanachange hutaamini then utakumbuka kua Vena alisema:shut-mouth:
 
hamy-d naunga mkono wasi wasi wako

tofauti yangu na wewe ni kwamba wewe upo ndani minipo nje

sasa ushauri wangu ni kwamba kama unamtaka kuwa mke wako, I mean a bit of a serious relationship., kwa tabia hiyo atakusumbua kama wengi walivosema. angalia usije kuwa zombie hapo.

naelewa kuwa ni urafiki ulianza japo kwa sasa unaweza kumtokea na akakubali ila ameshakusoma kuwa uko soft so atakusumbua atakavyo. Na sasa hivi huna authority ya kuhoji simu au mitoko yake kwa vile she is not ur love au fiancee sijui niseme..just a friend...

so endeleeni kuwa marafiki ila siku mmoja mgusie kuwa una GF hivi unapanga kumvisha pete uone reaction yake....then mweleze mapungufu yake na kama yuko tayari kuyaacha...kama hayupo tayari potezea jumla,
 
Mkuu asante sana kwa kunipa ushauri timilifu, pia umetoa mapendekezo ambayo sikuwai kufikiria kuyafanya.

Hilo ulilosema nitingishe kiberiti, ni swala la muhimu kwa lengo la kujua reaction yake.

Ushauri wako nimeupokea na nitaufanyia kazi mkuu.
 
Mkuu mimi sijaoa na sina mpango huo kwa sasa, lakini kama ilivyo ada, kabla ya kuingia kwenye ndoa inabidi umpate mtu kwanza ili msomane tabia na mambo mengine ya msing, ili msipate shida katika ndoa yenu.

Mimi ni mwanachuo na nimekutana na huyu binti ambae nimemuelezea kwenye hii thread hapa. Ningeomba ushauri wako kutokana na nilichokieleza humu itasaidia sana.

Huyo mwanamke unayemtaja hakufai na pia inaonyesha kuwa na wewe unamtaka ndio maana una wivu fulani. Urafiki na msichana yeyote kwa maana ya kujifunzana tabia lkn bila kuwa na uhusiano wowote kimwili haunadosari yoyote ila tu kumheshimu na kujiheshimu mwenyewe. Maana kuwa na mahusiano ya kimwili na mwanamke nje ya ndoa sio sifa bali ni kuvunja mahusiano yako na Mwumba wako. Soma na shika elimu; suala la mke ni dogo sana linakuja lenyewe muda ukifika.
 
Back
Top Bottom