Nampenda huyu Mhadhiri wa kike, sijui nimweleze au?

Rose1980 sasa hiyo nyingine tunafanya leo si ndio

ndo manke babu..the same venue the same tyme..nakat ya eliza bamida ya jion kwenda kulala

we jtayarshe tu kwa pushap za apa na pale..ukiutaarifu mwil rose iz coming..
and ntapenda tuchepuke kwanza kwako kdg kwa dk5 ivi nkaoshe sandoz zangu asi unajua uku brazil matopeee...majjjothooo ming so tutaenda kwako ukanimiminie maj by low pressure while im sratchng em in high force in small area...teh teh sandoz ztatakata izo...yees TAFUTA WORKDONE APO...
 
Jamani
mwone huruma kidoncho
mybe THIS IS IT FOR HIM ...
Usiende tenA KULE
kwenye yale mafile
Kutoa siri zake basi..

Dahhh naona
ROSE1980
kasha kuajiri..
mmmhhh

ahh mwaya ngoja tu nimwajiri kadig dig..vtambi vkubwa svtak mie...wazito lakin uyu ahhh mwembambaa ni shwaaaaaaaaaaaa shwaaaaaaa km nalia vle...ao wenye vtamb akina roy,babu ,kimey nimeakuachia wewe:love:
 
Hahahah lol
mie sina shida
shida itatokea nikienda
shopping halafu hiyo credit card
I Declan..
Itabidi ni mwachishe kazi hahaha lol

ehh kumbe shopng zote zile alizokuwa ananifanyia CARD ilikuwa yako?ehh asante mwaya

usimnyanganye kad io bwana ajamaliza kunifanyia shopng ya kucha pls mwache kdg atakurudishia j3 asubui ..acha tuwe nayo wknd
 
ndo manke babu..the same venue the same tyme..nakat ya eliza bamida ya jion kwenda kulala

we jtayarshe tu kwa pushap za apa na pale..ukiutaarifu mwil rose iz coming..
and ntapenda tuchepuke kwanza kwako kdg kwa dk5 ivi nkaoshe sandoz zangu asi unajua uku brazil matopeee...majjjothooo ming so tutaenda kwako ukanimiminie maj by low pressure while im sratchng em in high force in small area...teh teh sandoz ztatakata izo...yees TAFUTA WORKDONE APO...
Ahaaa ahaaa halafu si unajua mimi sio SHAROBARO wakina Oyoyo Oyoyo, yaani hapa kazi tu kama Juma Nature anavyosema kwanza inabidi tupige kitu cha Ugali na Mnyama kilo tatu halafu tunashushia na kitu cha Red Bull na maji halafu tunachukua halft time ya dakika 30 hivi baada ya hapo game linaanza tunashambulia kutoka upande wa magharibi kwenda mashariki formation itakuwa ni 4-4-2
 
ehh kumbe shopng zote zile alizokuwa ananifanyia CARD ilikuwa yako?ehh asante mwaya

usimnyanganye kad io bwana ajamaliza kunifanyia shopng ya kucha pls mwache kdg atakurudishia j3 asubui ..acha tuwe nayo wknd

Kucha...? Zinauzwa wapi...?
 
wadau wa jamvini, ukweli tumekuwa tukishauriana mengi tena kwa ustarabu na busara ya hali ya juu. Mimi ni mwanafunzi ktk chuo fulan hapa Dar, nimetokea kuwa na hisia za kimapenzi kwa mwanamke mmoja mrembo, mhadhiri mwenye hadhi ya Udokta PhD, Si wamakamu sana bt ni mrembo, mwenye tabasamu la ushawishi. Nashindwa nimweleze au laah! Na sijui ntapomwambia Reaction yake itakuwaje bt NAMPENDA KI UKWELI, Please wadau nisaidieni kwa ushauri, mwenzenu nipo njia panda!

Hebu ni-pm jina na kituo cha kazi cha huyo mhadhiri.....nimfanyie tathmini.....
 
ahh mwaya ngoja tu nimwajiri kadig dig..vtambi vkubwa svtak mie...wazito lakin uyu ahhh mwembambaa ni shwaaaaaaaaaaaa shwaaaaaaa km nalia vle...ao wenye vtamb akina roy,babu ,kimey nimeakuachia wewe:love:
tangazo: Vitambi havitakiwi
 
Khaaaa!
Watoto wa siku hizi jamani. Lol!
Kamtongoze akushushue hadi uhairishe mwaka.
 
Do not worry
Binadamu hashibi
Kwa mkate tu
bali kwa kila neno litokalo
kwa MUNGU ....

HAHAHAH lol
hivi Leo ijumaa
au jumapili lol..
Mbona wapenda kunichokoza wewe unataka tuanze kurudishana kwenye mambo ya kulazana nje ya nyumba
 
Ahaaa ahaaa halafu si unajua mimi sio SHAROBARO wakina Oyoyo Oyoyo, yaani hapa kazi tu kama Juma Nature anavyosema kwanza inabidi tupige kitu cha Ugali na Mnyama kilo tatu halafu tunashushia na kitu cha Red Bull na maji halafu tunachukua halft time ya dakika 30 hivi baada ya hapo game linaanza tunashambulia kutoka upande wa magharibi kwenda mashariki formation itakuwa ni 4-4-2

ni kweli

na ntakuletea konyag na supu ya pweza...hah haha hah!!!!!!!!!!
akikisha ambulance ipo nje plls stak kuambiwa nimeuwa mie akhu!!!!!
 
Acha kuharibu taimingi.....upelelezi wako hebu uelekeze zaidi kwa AD na Rose....

m just skippng the rope..bt for u i wl sit down...love u RR!!!!!

DIG DIG ANANICHOKOZA TU MISTAK...ntamsemea kwako mimi ohhoo ohoo..sasa inakuwaje rr?
 
ehh kumbe shopng zote zile alizokuwa ananifanyia CARD ilikuwa yako?ehh asante mwaya

usimnyanganye kad io bwana ajamaliza kunifanyia shopng ya kucha pls mwache kdg atakurudishia j3 asubui ..acha tuwe nayo wknd

Ahhh mwaya
si wajua tena vijimambo
vya haki sawa mmhh
ukinunua hair dryer ye
Ataka hair straightner
Mmmhhh

Mmhhh
usisahau kupiga
picha hizo kucha kwa ile iphone
aliekununulia halafu weka kwenye surakitabu..
Hahahahahahahah lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom