Nampenda huyu Mhadhiri wa kike, sijui nimweleze au?

Hapana babu si lazima kufelishwa.......hata akifaulu itakuwa maneno....kwa kawaida huwa hairuhusiwi.
Wifi yangu aliolewa na kak yangu mwalimu pale by that time alikuwa anasoma Masters na kaka ndo alikuwa supervisor wake so ilibidi abadilishiwe supervisor kabla hajatokewa!

Mwalimu wangu aliolewa na mwanafunzi wake bahati mbaya wakati wanaanza walijitia kuficha but ilipogundulika tu mwalimu akabadilishiwa vipindi na monitoring ikaanza, mkaka hakuruhusiwa kuchukua kozi yoyote iliyokuwa inafundishwa na mwalimu na kwa zile core ambazo hakuwezakuzikwepa, test zake, assignments zake na mitihani yake ilisahihishwa na mwalimu mwingine!
Mjukuu hapo kwenye red duh!!
 
Mwenzetu badala ya kuconcentrate masomo unammezea mate mhadhiri wako? Yuko singo au ni mali za watu?

Hii inathibitisha japo kuwa mchana kuna jua mchana linalowaka tunahitaji kutembea na taa za chemli kwani Watanzania wengi wapo gizani, huyu jamaa kamtamani mwadhiri wake na inaonyesha yeye mtu akimtolea tabasamu tu "anarogeka"
 
Kweli mapenzi hayachagui kwanza nakupongeza kwa kutokuwa among wale wanaume ambao husumbuliwa na tofauti za kielimu hasa pale wawapendao wakiwa wamewazidi. Angekuwa mwingine angezikemea hisia zake kwa maneno kama ....mwanamke mwenye phD utamweza??......n.k. Kama wewe ni mstaarabu na una hadhi yako .jaribu bahati yako. You neva know labda naye anaugulia moyoni.

na ticha naye akiwa mstaarabu anayeelewa hisia za mapenzi zilivyo sidhani kama atakukasirikia iwapo hatakuwa na mutual feelings kwako. Mradi tu akikwambia haiwezekani basi heshimu maamuzi yake na keep on respecting her sio uanze kumnanga bure.

ANGALIZO: Kimaadili ya kikazi (za ualimu vyuoni) kama unawezavumilia amalize kozi anayokufundisha ndo umtokee kwa sababu ukimweleza na mkawa wapenzi (au la) hatakiwi kukufundisha tena.

Mjukuu mtiifu, angalia isijekuwa ni kale ka mwanafunzi kako ka darasa la nne kanakumendea afu hapa kanazuga kako chuo na wewe ndo mwenye PHD yako......katakuwa kanakuchungulia, usivae tena kimini...STUKA!
 
Mmm kuwa muwazi,unamtaka kimapenzi tu uoshe rungu au unataka kuoa,kumaa ukitoswa utatulia japo mwanaume hutakiwi kukosea kulenga
 
Hii inathibitisha japo kuwa mchana kuna jua mchana linalowaka tunahitaji kutembea na taa za chemli kwani Watanzania wengi wapo gizani, huyu jamaa kamtamani mwadhiri wake na inaonyesha yeye mtu akimtolea tabasamu tu "anarogeka"

mhh jaman sio kiivo kwan mwanafunz sio bnadam?awez kutamana au kupenda?
labda ni mkaka mkubwa tu sema ndo kampenda tcha....sio zamb saaaaaaana ya kucondem kiiivo

dent ni bnadamu pia...ana filing km mfanyakaz wa kawaida
 
Hapana babu si lazima kufelishwa.......hata akifaulu itakuwa maneno....kwa kawaida huwa hairuhusiwi.
Wifi yangu aliolewa na kak yangu mwalimu pale by that time alikuwa anasoma Masters na kaka ndo alikuwa supervisor wake so ilibidi abadilishiwe supervisor kabla hajatokewa!

Mwalimu wangu aliolewa na mwanafunzi wake bahati mbaya wakati wanaanza walijitia kuficha but ilipogundulika tu mwalimu akabadilishiwa vipindi na monitoring ikaanza, mkaka hakuruhusiwa kuchukua kozi yoyote iliyokuwa inafundishwa na mwalimu na kwa zile core ambazo hakuwezakuzikwepa, test zake, assignments zake na mitihani yake ilisahihishwa na mwalimu mwingine!

Hapo kwenye red hayo unayaweza kuyapata kwa waliogizani wasiojua nini maana ya ethics sina uhakika lakini nadhani pia wapo madaktari na manesi wanaofanya ngono na wagonjwa wao! Polisi wanaofall kwa watuhimiwa wakike na maboss wanaowakamua waliochini yao! Ukiangalia huo mlolongo utaona kwanini elimu yetu inashuka! kwanini kila sehemu watu hawawajibiki? kwasababu boss anatembea na wafanyakazi wake na waalimu wanatembea na wanafunzi wao baada ya kazi wanapita sehemu kuvunja amri ya sita asubuhi mfanyakazi ataingia saa nne boss hatakuwa na la kufanya economical huyo mfanyakazi ni mzigo kwa shirika maana muda wake wa kufanya kazi hautimii! ndipo sasa tutaanza oooh serikali ndio chanzo mara hivi mara vile nasema hiviiiii "sisi ndio chanzo" cha yote kufeli kwa wanafunzi, huduma mbaya za kijamii na kadha wa kadha!

Haya na tuendeleze libeneke na wahadhiri wetu wa kike na wakiume nao waendeleze na mabinti wanaosoma kwenye lectures zao ili ngoma iwe droo, madaktari msijiweke nyuma ukiona nesi au mgonjwa bomba omba game. Polisi, majaji na mahakimu msijiweke kama mayatima kwani nyie mna nini na wahadhiri wana nini onyesheni maujuzi kwenye yale mambo yetu msiogope kuambiwa hamtendi haki kwa watuhumiwa kwani mapenzi kama majani huota popote na kwenye nchi isiyona maadili "ethics" majani huota hata moto unaowaka! Tafakari na siku njema.
 
Mjukuu mtiifu, angalia isijekuwa ni kale ka mwanafunzi kako ka darasa la nne kanakumendea afu hapa kanazuga kako chuo na wewe ndo mwenye PHD yako......katakuwa kanakuchungulia, usivae tena kimini...STUKA!
Mie nna PhD?? labda ya nyagi
 
mhh jaman sio kiivo kwan mwanafunz sio bnadam?awez kutamana au kupenda?
labda ni mkaka mkubwa tu sema ndo kampenda tcha....sio zamb saaaaaaana ya kucondem kiiivo

dent ni bnadamu pia...ana filing km mfanyakaz wa kawaida

Dent ni binaadam na waalimu wanaoshutumiwa kuwapasisha nakutoa shahada za "chupi" ni binaadam pia.........
 
Hapo kwenye red hayo unayaweza kuyapata kwa waliogizani wasiojua nini maana ya ethics sina uhakika lakini nadhani pia wapo madaktari na manesi wanaofanya ngono na wagonjwa wao! Polisi wanaofall kwa watuhimiwa wakike na maboss wanaowakamua waliochini yao! Ukiangalia huo mlolongo utaona kwanini elimu yetu inashuka! kwanini kila sehemu watu hawawajibiki? kwasababu boss anatembea na wafanyakazi wake na waalimu wanatembea na wanafunzi wao baada ya kazi wanapita sehemu kuvunja amri ya sita asubuhi mfanyakazi ataingia saa nne boss hatakuwa na la kufanya economical huyo mfanyakazi ni mzigo kwa shirika maana muda wake wa kufanya kazi hautimii! ndipo sasa tutaanza oooh serikali ndio chanzo mara hivi mara vile nasema hiviiiii "sisi ndio chanzo" cha yote kufeli kwa wanafunzi, huduma mbaya za kijamii na kadha wa kadha!

Haya na tuendeleze libeneke na wahadhiri wetu wa kike na wakiume nao waendeleze na mabinti wanaosoma kwenye lectures zao ili ngoma iwe droo, madaktari msijiweke nyuma ukiona nesi au mgonjwa bomba omba game. Polisi, majaji na mahakimu msijiweke kama mayatima kwani nyie mna nini na wahadhiri wana nini onyesheni maujuzi kwenye yale mambo yetu msiogope kuambiwa hamtendi haki kwa watuhumiwa kwani mapenzi kama majani huota popote na kwenye nchi isiyona maadili "ethics" majani huota hata moto unaowaka! Tafakari na siku njema.
Aksante kaka naheshimu sana mchango wako.
 
Pole bro, wat i know love has no limit. Nakushauri ufanye investigation kwanza kujua kama kaolewa au bado, olwys lecturer walio olewa/wachumba huwa wana shobo kweli anaweza kukula kichwa au kukuaibisha laivu. Nikipe huu mfano wa hapa chuoni kwetu, kuna jamaa tukiwa 2nd yr alimtokea mdada lecturer yule dada kamkubalia fasta akachukua namba ya cm ya jamaa, baada ya ck 2 jamaa kapigiwa na yule mdada akimuita aende ofisini kwake baada ya jamaa kufika akakuta kuna lecturer kama kumi wakiwa na yule dada, baada ya jamaa kuingia ndani yule lecturer wa kike akadakia fasta kwa kusema 'huyu hapa ni shemeji yenu naombeni tumsikilize eti ananipenda' jamaa kaanza kutetemeka na kuomba msamaha kwa kosa la kumtñgoza lecturer na akasamehewa. Ila baada ya ss kufanxa uchunguzi tukagundua kuwa yule mdada alikuwa na mchumba lecturer mwenzake
 
https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/122431-super-shafti-imechemsha-nifanyeje.html

Gagurito naomba clarification kidogo kuhusiana na hii thread yako maana ulisema unaogopa kukimbiwa na mpenzi wako, sasa unataka kuwachanganya wote huyu mpenzi wako na huyu Mhadhiri wa Kike???????

mhh kumbe analeta mihemko ya kubalehe apa?
jana kaleta post awez KUMKWEA mwenzake leo anasema anampenda ticha

nimesence km sio miaka 14 basi 19

mtoto ana swaga za ktotooooooooooooooo...joniiii joniiiiiiii yesssssss papaaaaa eatng sugar?
aya malizia dedcation yako io
nilikuwa nakutetea apo juu kumbe i was wrong ...u mtoto...
KUA KWANZA...MWWALIMU TAKUBALASA TU..UNAONEKANA AUJAMALIZIA UCHAVUSHAJI...
 
wadau wa jamvini, ukweli tumekuwa tukishauriana mengi tena kwa ustarabu na busara ya hali ya juu. Mimi ni mwanafunzi ktk chuo fulan hapa Dar, nimetokea kuwa na hisia za kimapenzi kwa mwanamke mmoja mrembo, mhadhiri mwenye hadhi ya Udokta PhD, Si wamakamu sana bt ni mrembo, mwenye tabasamu la ushawishi. Nashindwa nimweleze au laah! Na sijui ntapomwambia Reaction yake itakuwaje bt NAMPENDA KI UKWELI, Please wadau nisaidieni kwa ushauri, mwenzenu nipo njia panda!

Dogo acha mapepe!!! Umekwenda chuo kutafuta degree au kumezea mate walimu zako??!! Angalia dogo usione vyaelea ujue vimeundwa!!

GRADUATES WITH A's AND NOT AIDS
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom